ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #61
Kwa nini apendelee badala ya kuanza kujenga hatua Kwa hatua kwenye maeneo yenye uhitaji zaidi?Aliipendelea Chato. Ila ni vitu vya kawaida na vilipatakiwa viwepo kila mkoa kama si kila wilaya.
miaka yote mlikua mnashindwa kutengeneza miundo mbinu ya kawaida sana hiiiStand ya Mabasi Chato,Arusha au Mbeya hakuna Stand kama hii View attachment 2871788
umasikini tu ulishazoea nchi yenye mabilioni kujenga vimajengo ya kimasikini mbwa wwYule jamaa alikuwa mpuuzi. Na upuuzi huo naona umeigwa na Kizimkazi pia.
Sasa hivi Zanzibar mpk majengo ya zanahanati yanabadilishwa kuwa maghorofa.
Nchi yenye bajeti ya trilioni 2.3 kwa mwaka lkn inafanya miradi ya trilioni 10 kwa mwaka.
Huyo jamaa ukimuona mwili wake hutaamini kama ndo mwenye akili ndogo kama kisodaUtakuwa unaumwa wewe! Unaokota habari uko unakuja kupaste tu huku! Wilaya gani haikuwa na mradi wa stand au soko kipindi cha mwendazake?
uzi una miezi miwili Like hata kumi hazifikiπ£ππππukipuuzwa si lazima uambiweUpendeleo wa hivi hautakiwi na ikomeshwe mara Moja maana ni hatari kwa mstakabali wa umoja wa kitaifa.
Chato peke yake kulikuwa na miradi zaidi ya 14 mikubwa mikubwa Kama ifuatavyo
1.Miradi wa Kiwanja Cha Ndege Chato
2.Mradi wa Maktaba ya Kanda ya Ziwa-Chato
3.Mradi wa Chuo Kikuu Chato-Tawi la Udsm
3.Mradi wa Tawi la Chuo Cha Fedha na Mipango Chato
4.Mradi wa Hoteli ya Nyota 3 Chato
5.Mradi wa Kuunda Hifadhi Mpya ya Taifa Burigi Chato
5.Mradi wa Hospitali ya Kanda Chato
6.Mradi wa Standi Kuu ya Hadhi ya Kanda Chato
7.Mradi wa Soko la Samaki la Kanda Chato
8.Mradi wa Barabara ya lami Chato
9.Mradi wa Gati la Nyamirembe Chato
10.Mradi wa Shule Maalumu ya Mkoa Chato
11.Mradi wa Majengo ya Makazi ya Watumishi NHC Chato
Hiyo ni Baadhi tuu ya Miradi mikubwa kati ya maelfu ya miradi ambayo bwana yule alijipendelea kwenye Kijiji chake Kwa kutumia Rasilimali za Nchi Kuleta upendeleo wa kimaeneo kinyume na kiapo chake.
View attachment 2871785View attachment 2871795View attachment 2871796View attachment 2871797
My Take
Wakati mwingine tuwe tunachunguza rekodi za watu (vetting) kabla ya kuwafanya viongozi wa Nchi maana wanaweza kuja kuleta taharuki kubwa.
View: https://www.instagram.com/p/Cz_Xq2RN0dL/?igsh=YW9pdTMzbTZ0ajViView attachment 2871794
Wewe likes zinakusaidia nini?uzi una miezi miwili Like hata kumi hazifikiπ£ππππukipuuzwa si lazima uambiwe
Kwa hiyo ikaamuliwa Chato ndio inastahili hiyo miundombinu ilasio Majiji sio? Ulofa kama lodilofamiaka yote mlikua mnashindwa kutengeneza miundo mbinu ya kawaida sana hiii
Ni umasikini na ulofa wako ndo inakufanya uone n kitu cha ajabu
Ushaenda chato ww au unajiongelea mambo ya kwene magazeti???Kwa hiyo ikaamuliwa Chato ndio inastahili hiyo miundombinu ilasio Majiji sio? Ulofa kama lodilofa
Uhalisia upi? Chato ni Wilaya haiwezi kupendeoewa miundombinu mikubwa kabla ya Majiji ambayo Yana mchango mkubwa Kwa Uchumi.Ushaenda chato ww au unajiongelea mambo ya kwene magazeti???
Nenda halafu urudi utofautishe propaganda na uhalisia
umasikini kichwani umekujaa mambo ya kawaida unaona anasa! tafuta passport utembee nchi nyingine umasikini unakula akiliUhalisia upi? Chato ni Wilaya haiwezi kupendeoewa miundombinu mikubwa kabla ya Majiji ambayo Yana mchango mkubwa Kwa Uchumi.
Hoja ni Kwa nini Chato wakati ni nothing kwenye Mchango wa kiuchumi na kuacha kunakoleta pesa?umasikini kichwani umekujaa mambo ya kawaida unaona anasa! tafuta passport utembee nchi nyingine umasikini unakula akili
Charity begins at home. Ulitaka akistaafu aanze kulia kuwaimba waliopo madarakani wapeleke maendeleo chato.?Wewe unaona alichokuwa anafanya ni sawa sawa?
Unaonaje ukituletea na miradi ya Chalinze?, au haipo?Upendeleo wa hivi hautakiwi na ikomeshwe mara Moja maana ni hatari kwa mstakabali wa umoja wa kitaifa.
Chato peke yake kulikuwa na miradi zaidi ya 14 mikubwa mikubwa Kama ifuatavyo
1. Miradi wa Kiwanja Cha Ndege Chato
2. Mradi wa Maktaba ya Kanda ya Ziwa-Chato
3. Mradi wa Chuo Kikuu Chato-Tawi la Udsm
3. Mradi wa Tawi la Chuo Cha Fedha na Mipango Chato
4. Mradi wa Hoteli ya Nyota 3 Chato
5. Mradi wa Kuunda Hifadhi Mpya ya Taifa Burigi Chato
5. Mradi wa Hospitali ya Kanda Chato
6. Mradi wa Standi Kuu ya Hadhi ya Kanda Chato
7. Mradi wa Soko la Samaki la Kanda Chato
8. Mradi wa Barabara ya lami Chato
9. Mradi wa Gati la Nyamirembe Chato
10. Mradi wa Shule Maalumu ya Mkoa Chato
11. Mradi wa Majengo ya Makazi ya Watumishi NHC Chato
Hiyo ni Baadhi tuu ya Miradi mikubwa kati ya maelfu ya miradi ambayo bwana yule alijipendelea kwenye Kijiji chake Kwa kutumia Rasilimali za Nchi Kuleta upendeleo wa kimaeneo kinyume na kiapo chake.
View attachment 2871785View attachment 2871795View attachment 2871796View attachment 2871797
My Take
Wakati mwingine tuwe tunachunguza rekodi za watu (vetting) kabla ya kuwafanya viongozi wa Nchi maana wanaweza kuja kuleta taharuki kubwa.
View: https://www.instagram.com/p/Cz_Xq2RN0dL/?igsh=YW9pdTMzbTZ0ajViView attachment 2871794
nakushauri utembelee zanzibar pia na uwaulize wenyeji mambo yaliyofanyika ndani ya miaka mitatu , ujiridhishe pia kama Zanzibar inao uwezo wa ku-mobilize hizo financial resourcesWewe unaona alichokuwa anafanya ni sawa sawa?
Upendeleo wa hivi hautakiwi na ikomeshwe mara Moja maana ni hatari kwa mstakabali wa umoja wa kitaifa.