Miradi hii ilipelekwa Chato. Kila Rais akipendelea kwao kama Hayati Magufuli Tanzania itaendelea kuwepo?

Mwanza yenyewe haina jengo la abiria la uwanja wa ndege lenye hadhi, mbali na kuwa jiji na kuchangia pato la Taifa kikubwa,pesa za chato airport zingeboresha sana uwanja huo na kuwa wa kimataifa. Tutegemee huruma ya mama aifikirie Mwanza. Tuliangushwa kikubwa
 
Naona Chato imegoma kupoa licha ya Uwanja wa ndege kugeuka kilinge Cha kuanikia michembe 😁😁

Wafuasi wako kazini πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://twitter.com/wizara_afyatz/status/1790294481226383823?t=Dc5BBwW6VowsLC1E1iNHIA&s=19
 
Udsm Chato Campus -Marine Science

Soko kuu la Samaki Chato
 
Na uzuri ni kwamba hamna mradi uliokwama hata mmoja. R.I.P Magufuli
 

View: https://youtu.be/sa31sH6ASxc?si=AT3U2mM8kI4Nbq8u
 


Japo wote wawili Magufuli na Mobutu walishakwenda zao, huwa siachi kujiuliza walivyotapanya pesa ya umma kujenga kwao kukaishia kufulia.

Kwa sasa nasikia tumeanza kujenga Kizimkazi. Ukiondoa Magu na huyu, hakuna rais wa Tanzania aliyependelea kwao. Kama kupendelea vingelikuwa dili, Nyerere ageigeuza Butiama pepo.

Kwa wale wanaokumbuka historia, kufuatilia na kujifunza tokana nayo, kuna tofauti gani kati ya Gbadolite ya Mobutu na Chatolite ya Magufuli?
 

Attachments

  • 1732243594373.png
    1.2 MB · Views: 1
Afrika inaongozwa na utashi wa kiumbe mmoja aliye kasimiwa madaraka.
Ni laana ya kuanza mambo kila leo.
 
Msisahau pia kwamba Dhahabu nyingi sana inayochimbwa Tanzania inatoka maeneo hayo hayo !
Kwahiyo sio mbaya maeneo hayo yakaonyesha Angalau yaani Angalau yakaonyesha kasura sura ka thamani ya Dhahabu !
RIP JPM !
 
Maono ya magufuli hayo.
Nami nkiwa raisi ntapeleka "ukerewe-Mwanza"
 
Mleta mada angefanya jambo la busara sana kama angeleta majadiliano ya ile mikataba ya uchimbaji wa Dhahabu ya huko maeneo yale badala ya mjadala wa Vijengo jengo vilivyojengwa huko Chato πŸ˜³πŸ™„πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…