Miradi hii ilipelekwa Chato. Kila Rais akipendelea kwao kama Hayati Magufuli Tanzania itaendelea kuwepo?

Maono ya magufuli hayo.
Nami nkiwa raisi ntapeleka "ukerewe-Mwanza"
Hayo ni maono au ujinga?

Unajua maana ya maono?

Maoni ni kama haya yaliyowekwa na Samia.

1/Kufikisha Watalii mil.5 by 2025

2/Kilimo.kuchangia 10% ya GDP by 2030( ajenda 10/30)

3.Watanzania wapatoa 80% wawe wanatumia Nishati safi by 2034

4.Kila Mtanzania na wastani wa 80% wawe na bima ya Afya by 2030

5.Utekezaji wa sera Mpya ya Elimu uwe umekamilika by 2027 (Elimu ya amali)

Hayo ndio maono na hapo ni kwenye sekta chache tuu nimekupa mifano.👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DCop0uOMC-z/?igsh=MW42N2liaXMxbHNpMQ==
 
Mkuu hajafanya baya madhali pesa za walipa Kodi kaziweka kwenye maendeleo sio vibaya

Pili hiyo mikoa imesahaulika Sana NI vema kuiwekea mikakati ya kuiendekeza kwa maoni yangu yeye au wewe unaona kafanya kwa ajili ya sehemu aliyo zaliwa Ila ukiangalia kwa upana zaidi kafanya kwa ajili ya watanzania maana hata wewe ukifika huko chato utazitumia hizo rasilimali kuliko wale viongozi walafi wa madaraka wanajenga familia zao na kuiba Kodi zetu kwa ajili ya maslahi binafsi
 
Mkuu ushawahi kufika morogoro sehemu moja inaitwa mvomero
 
Unaonaje ukituletea pia tofauti za maendeleo katika mikoa, wilaya, na miji ya Tanzania katika awamu zote na kutupa sababu.
 
Ila kwa kwa sasa nchi imetawaliwa na rais mbumbumbu asiyependwa na anaowatawala.. mmebaki nyie walamba miguu yake na wala makombo ya ikulu kumsifia na promo nyingi km matangazo ya dume kondomu.
 
Ila kwa kwa sasa nchi imetawaliwa na rais mbumbumbu asiyependwa na anaowatawala.. mmebaki nyie walamba miguu yake na wala makombo ya ikulu kumsifia na promo nyingi km matangazo ya dume kondomu.
Mkuu hiyo unayemuita mbumbumbu zipo sehemu anapeleka maendeleo na watu wanafurahi uebdeshaji wake wa nchi hii Tanzania NI kubwa jatiba haimbani raisi ssa kwanni asifanye maendeleo pale panapo mgusa
 
Akija raisi anayetokea kule mvomero milimani mvua ikinyesha hakuna usafiri unaoenda Wala kurudi gari la msd linaishia njiani kuleta dawa kwa jinsi barabara ilivokuwa haipitiki wananchi ndo wanachukua maboksi ya dawa kupeleka dawa tena kila kichwa kinalipwa elfu30 kikifikisha box la dawa unataka kusema Hilo tatizo hawalioni serikali


Waache watu wanapoamua kupeleka maendeleo kwao ujue wameguswa kwa namna moja ama nyingine kubwa msapotini na sio mnakuwa haters kila kitu mnakosoa wewe kijijini kwenu si mmeletewa umeme wa rea mbona hujakosoa ssa hivi asilimia kubwa sehemu nyng umeme umefika mbna hausemi kwa kuwa kijijini hamtakiwi kuwa na umeme jaribu kuridhika na kile kidogo m achofanyiwa


Huyo mtu wa chato hizo flyover za daslam zinamsaidia Nini mbna haji kumkosoa raisi wazi wazi Ila anaona zinamaslahi na wananchi
 
Ukianza kupendelea kwenu Kwa visingizio vyovyote vile sio sawa kabisa.

Tukianza huo utaratibu tutafyekana na kugawana mbao Ili Kila mtu ashinde mechi zake.

Kanuni za mgawanyo zizingatiwe.

Mwisho ulienda lini huko Mvomero maana Mama amemwaga pesa ya Barabara huko TARURA mara 4 zaidi ya Mwendazake
 
Chato sio Mkoa ,Mikoa iliyosahaulika inajulikana na isingekuwa Samia Hadi Leo Bado ingeendelea kutengwa.
 
Jamaa alikuwa anapiga vita bandari ya Bagamoyo ili akajenge ya Nyamirembe, shenz sana. Na sasa naona wanataka kuweka lami kutoka barabara kuu ya Mwanza kwenda kwenye bandari hiyo
 
Mbona kufukua makaburi kunani????
 
Ila kwa kwa sasa nchi imetawaliwa na rais mbumbumbu asiyependwa na anaowatawala.. mmebaki nyie walamba miguu yake na wala makombo ya ikulu kumsifia na promo nyingi km matangazo ya dume kondomu.
Usitoe maelezo ya Jumla Jumla.Ili Rais afanye kazi yake haihitaji Upendo Bali ushirikiano,so long as ushirikiano upo wewe usiyempenda na unaemtukana huwezi zuia Wala kufanya lolote asilete maendeleo.

By the way unaemuita mbumbumbu wewe ndio ameleta maendeleo makubwa na zaidi Kwa Kila sekta kuliko huyo unampenda zikiwemo kupunguza shida za Ajira za Watoto wako ambao walikwama Kwa miaka 5 bila Ajira.

Kwa vigezo vyovyote,chukia uwezavyo ila hakuna Rais aliyeweza kufikia Samia Kwa kuleta maendeleo,hata hapo ulipo Kuna utitiri wa miradi.

Wakati umpendae akihamgaika na wanajeshi kusomba korosho kisa kukosa wanunuzi,Samia ameweza mara 4 zaidi 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DCgH54utd1Q/?igsh=MTJkazNmcDhuOWZ1ZQ==
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…