zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
- Thread starter
- #41
Kubuni ndio Nini? Mambo yote yapo kwenye mpango wa taifa wa miaka mitano Kuna mpaka miradi ya umeme wa joto ardhi na upepo. Kuna masuala ya kununua meli za bahari kuu za kuvua samaki, Kuna mradi wa kuvuna gesi asilia, Kuna mpango wa kujenga Barabara nane till Morogoro and so on.Labda kama huna unalolijua kuhusu ilo bwawa, ila unabyomuona Samia na Janauary wanaubunifu wowote? Just be neutral! Samia anavyomuona ni mtu ambae anasumbua kichwa chake kutafuta taarifa? Kubuni vitu?
Hata JPM sio kama alibuni ni mpango ulishakuepo hata flyover ulikuwepo kwenye DMDP na kipengele Cha decongestion Dar Es Salaam kwenye mpango wa taifa wa miaka mitano 2011-2016!!!