Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
Miradi ya barabara inayotekelezwa kwa ushirikiano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) ni kama ifuatavyo;
AWAMU YA 6 KAZINI
Nukuu za Rais Samia katika sherehe za Uwekaji wa jiwe la msingi barabara ya mzunguko wa nje wa jiji la Dodoma (KM 112.3)
Benki kufadhili zaidi ya miradi 11 ya sekta moja ya Ujenzi na Uchukuzi ambayo ni zaidi ya 1900KM, hii inadhihirisha kuwa kweli Benki ya Maendeleo ya Afrika ni benki ya maendeleo ya Afrika lakini kwa maendeleo ya Waafrika - Rais Samia
Miradi ya barabara inayotekelezwa kwa ushirikiano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) ni kama ifuatavyo;
- Barabara ya Kabingo-Kasulu-Manyovu 260KM ujenzi unaendelea.
- Tabora (Usesula-Koga-Mpanda) 342KM hii imekamilika
- Upanuzi wa Sakina Tengeru 14KM wa njia nne
- Njia mchepuo Kusini Jiji la Arusha 42.4KM
- Barabara ya Mbinga-Mbamba Bay 66KM
- Barabara ya Singida-Babati-Minjingu 223.5KM
- Barabara ya Arusha-Namanga 105KM
- Iringa- Dodoma 260KM
- Namtumbo-Tunduru 190KM
- Mayamaya-Bonga 188KM
- Tunduru - Mangaka Mtambaswala 202.5KM
TANZANIA: President Samia lays today a foundation stone for the implementation of the 112.3 km Dodoma City Outer Ring Road.
Two Chinese firms (CCECC and AVIC-INTL) to build the ring road worth $214.69M.
CCECC will construct 52km within 39 months and AVIC 60km in 43 months.