Miradi ya JKT na JWT/Shirika la mizinga, ni miradi ya kusikitisha sana, ni kipimo cha level ya uwezo wetu sisi Watanzania

Miradi ya JKT na JWT/Shirika la mizinga, ni miradi ya kusikitisha sana, ni kipimo cha level ya uwezo wetu sisi Watanzania

Nadhani bado ni Mzabuni.

Na meshapata malaya wa Kinyarwanda, Kagame atakuwa anajua silaha zote tunazoagiza
Oops Hii Tanzania Tunachezewa Sana Sana Na Wahuni
Wanajipenyeza
 
Chizi huyo,watu wasiojua mambo yalivyo hukurupuka tu
Huyu siyo chizi. Wewe unayejua jinsi mambo yalivyo msaidie kumuelimisha ili naye awe anajua kama wewe. Ni kueleweshana hakuna sababu ya kutukanana
 
Huyu siyo chizi. Wewe unayejua jinsi mambo yalivyo msaidie kumuelimisha ili naye awe anajua kama wewe. Ni kueleweshana hakuna sababu ya kutukanana
Chizi, ujuaji ukizidi ni uchizi,yeye ajenge hata kiwanda cha toilet paper tu tuone
 
Hayo unayoyataka yanahitaji fedha swali je serikali yako inaweka fedha usione China wanazalisha bidhaa unaenda nunua kariakoo nyuma yake kuna uwekezaji wa matrillion sio kazi ndogo hata kidogo kama unavyodhani
Kwahiyo ndo wajenge frames, vituo vya mafuta, kuzoa taka na kumbi za harusi?
Hata kuwa na viwanda vya gloves, madawati na hata assembly ya pikipiki wameshindwa?
Nchi ya hovyo kabisa hii.
 
Hayo unayoyataka yanahitaji fedha swali je serikali yako inaweka fedha usione China wanazalisha bidhaa unaenda nunua kariakoo nyuma yake kuna uwekezaji wa matrillion sio kazi ndogo hata kidogo kama unavyodhani
Uwezo wa kufikiria wa viongozi nao ni mdogo sana haiwezekana hata kama hamna hela ndio jeshi la Nchi lifyatue tofali bana.
Kuna viwanda havihitaji matrilion kuvianzisha.
 
JWTZ na ndugu yake JKT, waliapaswa kuwa ndio centre ya kuibua viwanda vya kizalendo Tanzania hii, Walipaswa kuwa ndio sehemu ya watu kwenda kujifunza uchumi wa kizalendo, Watu kwenda kujifunza kuto penda bidhaa za nje na wathamini bidhaa za ndani ya nchi kamam sehemu ya Uzalendo.

Centre ya uchumi wa kizalendo, made in Tanzania ilipaswa kuonekana pale.

Cha kusikitieha JKT unakuta wana miradi eti Gari lori za kusombea watu mchanga,

- Wana Maduka ya Hardware, wanafyatua tofali za kuuza, wana zoa taka mitaani, wana kampuni ya kufanya usafi mtaani, wana kampuni sijui za fumugations, wanakata bima za vyombyo vya moto.

To be honest hizi ni project za kureflect uwezo wetu kwenye kufikiria sio project za kizalendo hata kidogo haziwalishi uzalendo wa nchi hata kidogo.

JKT walipaswa kuwa na viwanda vyao vya kuunda zana rahisi hata za kilimo, Afya na kadhlika, walipaswa kuwa na maabara za kutafiti madawa hata ya miti shamba kama India na kuyazalisha na kuuza na hata ku export nje.

Sasa JKT kuwa na maduka ya Hardware ni mambo ya ajabu mno wanashindana na raia mtaani?

JWTZ Sasa
Hawa wana frame, wana kumbi za harusi, mara wana mradi wa kupasua kokoto, hizi ni project za aibu kufanywa na Jeshi la Ulinzi na usalama.

Sijui kama Duniani kuna nchi nyingine jeshi lake wana aina hizi za project, Frame ni vitu vya hovyo sana na vya kuonyesha kiwango chetu cha kuwaza kwamba tusivyo creativity tunao tegemea kuwa dampo..

JWTZ kwa uwezo wao walipaswa kuwa na kituo cha kutafiti na kuja na solution ya baadhi ya matatizo ya kijamii na kijeshi Kiwanda cha nyumbu kile kilipaswa kuwa kina export magari ya kijeshi na ya kiraia, kilipaswa ndicho kinazalisha mabus ya Magereza, Police, JKT na hata magari ya Serikali baadhi.

Ni aibu JWTZ na wao kushindana kuendesha Youtong wakati wana uwezo wa kuwekeza kwenye kiwanda cha nyumbu na wakazalisha mabasi yao mazuri kabisa.

Frame ni projects za aibu kwa JWT Na sijui kama kuna watu wa kuwashauri kuwaambia hizi ni project za aibu waachane nazo waachie watu wa kawaida mtaani.

Kuna siku watakuja na biashara za kukaanga Chipa hivi hivi tukiangalia.

JWTZ na JKT wanapaswa kuwa ndio kipimo cha projects za kizalendo Projects za made in Tanzania, projects za kuonyesha kwamba tunaweza.
Wewe unacheza nini, watu AMBAO wameweza KUSHONA kaptura za jkt wakati wameagiza vitambaa watawezaje hizo project.

Kuna kampuni za wanasiasa ambazo huwezi shindana nazo na ndo zinapokea tenda, jeshi liko chini ya CCM na Wana CCM ndo wqnabeba hizo project
 
Tunashindwa hata kutengeneza hizi silaha portable kama bastora, mabomu ya machozi, hizi police riot trucks and gears, bunduki kama smg's nk, hizi military transport trucks zote zilipaswa kuwa projects za JWTZ na JKT.
Hizi passenger buses tulipaswa kuwa na plant za kutengeneza Kwa matumizi ya kijeshi na kiraia hapa inakuwa centre ya innovation watu wengine kujifunza na kujenga uwezo wa watu wetu.

Tulipaswa kuwa na dry docks za kutengeneza patrol boats na kitengo cha vifaa vya tafiti za vifaa vya baharini, tuanze wenyewe kufanya tafiti ndogo ndogo za baharini za mafuta na gas.

Tunalalamika ukosefu wa ajira Kwa vijana wasomi ilihali zipo gaps nyingi ambazo tungewekeza watu wetu wangepata ajira na maarifa mengi na kuiokoa nchi matumizi yasiyo ya lazima.
 
JWTZ kwa uwezo wao walipaswa kuwa na kituo cha kutafiti na kuja na solution
Mleta mada uko sahihi. Hapa Dodoma kwa mfano, JWTZ wamechukua ajira za watu wengi sana na kuharibu mitaji yao.
*Viwanda vya kufyatua tofali.
* Fremu za hardware.
*Saloon za kiume.
*Kuuza kokoto na mchanga.
....na mambo mengine ya hovyo wanafanya wao.

Huko mambele gunduzi nyingi zinafanywa na majeshi lkn hawa wetu wako bize kuchuuza .
 
Frame ni projects za aibu kwa JWT Na sijui kama kuna watu wa kuwashauri kuwaambia hizi ni project za aibu waachane nazo waachie watu wa kawaida mtaan
Hii aibu huwa naona kila nnapopita pale Lugalo....Aibu aibu aibu aibu....Na kailoga JWTZ..Je ni CCm ni nani..??? Je hakuna washauri....Hakuna washauri.. Majenrerali waliopita, Rais Kikwete..yeye alikuwa mwanajeshi kwanini anruhusu Jeshu kunajisiwa kiasi kile..???Kwanini asitoe ushauri..??Kwanini asikemee...?
 
Back
Top Bottom