Miradi ya JKT na JWT/Shirika la mizinga, ni miradi ya kusikitisha sana, ni kipimo cha level ya uwezo wetu sisi Watanzania

JKT wanabebwa na vazi la JESHI

Raisi samia aliwaambia wajitenge na biashara za raia wafanye mabo wanayoyahusu.
 
JWTZ na ndugu yake JKT, waliapaswa kuwa ndio centre ya kuibua viwanda vya kizalendo Tanzania hii, Walipaswa kuwa ndio sehemu ya watu kwenda kujifunza uchumi wa kizalendo, Watu kwenda kujifunza kuto penda bidhaa za nje na wathamini bidhaa za ndani ya nchi kamam sehemu ya Uzalendo.

Centre ya uchumi wa kizalendo, made in Tanzania ilipaswa kuonekana pale.

Cha kusikitieha JKT unakuta wana miradi eti Gari lori za kusombea watu mchanga,

- Wana Maduka ya Hardware, wanafyatua tofali za kuuza, wana zoa taka mitaani, wana kampuni ya kufanya usafi mtaani, wana kampuni sijui za fumugations, wanakata bima za vyombyo vya moto.

To be honest hizi ni project za kureflect uwezo wetu kwenye kufikiria sio project za kizalendo hata kidogo haziwalishi uzalendo wa nchi hata kidogo.

JKT walipaswa kuwa na viwanda vyao vya kuunda zana rahisi hata za kilimo, Afya na kadhlika, walipaswa kuwa na maabara za kutafiti madawa hata ya miti shamba kama India na kuyazalisha na kuuza na hata ku export nje.

Sasa JKT kuwa na maduka ya Hardware ni mambo ya ajabu mno wanashindana na raia mtaani?

JWTZ Sasa
Hawa wana frame, wana kumbi za harusi, mara wana mradi wa kupasua kokoto, hizi ni project za aibu kufanywa na Jeshi la Ulinzi na usalama.

Sijui kama Duniani kuna nchi nyingine jeshi lake wana aina hizi za project, Frame ni vitu vya hovyo sana na vya kuonyesha kiwango chetu cha kuwaza kwamba tusivyo creativity tunao tegemea kuwa dampo..

JWTZ kwa uwezo wao walipaswa kuwa na kituo cha kutafiti na kuja na solution ya baadhi ya matatizo ya kijamii na kijeshi Kiwanda cha nyumbu kile kilipaswa kuwa kina export magari ya kijeshi na ya kiraia, kilipaswa ndicho kinazalisha mabus ya Magereza, Police, JKT na hata magari ya Serikali baadhi.

Ni aibu JWTZ na wao kushindana kuendesha Youtong wakati wana uwezo wa kuwekeza kwenye kiwanda cha nyumbu na wakazalisha mabasi yao mazuri kabisa.

Frame ni projects za aibu kwa JWT Na sijui kama kuna watu wa kuwashauri kuwaambia hizi ni project za aibu waachane nazo waachie watu wa kawaida mtaani.

Kuna siku watakuja na biashara za kukaanga Chipa hivi hivi tukiangalia.

JWTZ na JKT wanapaswa kuwa ndio kipimo cha projects za kizalendo Projects za made in Tanzania, projects za kuonyesha kwamba tunaweza.
Tatizo la Jeshi letu limekaa Kisiasa Sana siku hizi, Kwa sasa muundo wa kila kikosi lazima kiwe na miradi ya kuwaingizia vipato..
Sasa unakuja ndani ya vikosi vyenyewe askari hawana ubunifu na wakitokea askari mwenye ubunifu akitaka kufanya kitu chap wanamwanzishia figisu.
Mwisho wa siku vikosi vimekuwa na miradi ya ajabu ajabu Sana eti mradi wa matofali, mradi wa maduka, mradi wa Ukumbi...yahani ni aibu Kwa Jeshi letu la TPDF.
Jeshi lilipaswa kuwa ndo kinara wa Creativity and innovation maana siku hizi linatangaza nafasi nyingi Sana za wasomi, kwaiyo wasomi wanapoingia kule ni kana kwamba wanazikwa...
Kuna msemo moja Jeshini pindi tu unapojiunga na Jeshi, utasikia unaambiwa na Coplo au Encior yoyote mkongwe.
Kwamba unapokuja kujiunga Jeshini Elimu yako unaizika pale getini( cortergard)...tena unaichimbia tunaanza upya na ukumbuke uyo Encior ndo msomi zaidi yako... tayari phycologyical washakutoa kwenye reli..mwisho wa siku wewe na Elimu yako na utahalam wako au ubunifu wako unaishia pale getini...
 
Jeshi walipaswa kuzalisha baadhi ya Magari yao ya kijeshi wenyewe, uwezo huo ulikuwepo,
Kwa akili gani walizonazo??

Wengi wenye vyeo jeshini ni HKL, HGL H KUNANI sasa wenye elimu ya sayansi hata wakileta vitu wanatupiwa mbali
 
Tatizo la Jeshi letu limekaa Kisiasa Sana siku hizi, Kwa sasa muundo wa kila kikosi lazima kiwe na miradi ya kuwaingizia vipato..
Sasa unakuja ndani ya vikosi vyenyewe askari hawana ubunifu na wakitokea askari mwenye ubunifu akitaka kufanya kitu chap wanamwanzishia figisu.
Mwisho wa siku vikosi vimekuwa na miradi ya ajabu ajabu Sana eti mradi wa matofali, mradi wa maduka, mradi wa Ukumbi...yahani ni aibu Kwa Jeshi letu la TPDF.
Jeshi lilipaswa kuwa ndo kinara wa Creativity and innovation maana siku hizi linatangaza nafasi nyingi Sana za wasomi, kwaiyo wasomi wanapoingia kule ni kana kwamba wanazikwa...
Kuna msemo moja Jeshini pindi tu unapojiunga na Jeshi, utasikia unaambiwa na Coplo au Encior yoyote mkongwe.
Kwamba unapokuja kujiunga Jeshini Elimu yako unaizika pale getini( cortergard)...tena unaichimbia tunaanza upya na ukumbuke uyo Encior ndo msomi zaidi yako... tayari phycologyical washakutoa kwenye reli..mwisho wa siku wewe na Elimu yako na utahalam wako au ubunifu wako unaishia pale getini...
daaaaah
 
Ila kuna ukweli hapa , uzuri siku hizi wana wasomi unda kitengo maalum chukua askari wadogo watundu watundu na wasomi na wenye vipaji peleka nje huko wakajifunze teknolojia mbali mbali hata miaka 5 , rudisha hapa kazi ianze ndani ya miaka mitatu tu kazi itaonekana
Mtoa Uzi utaanza kusikia anatafutwa
 
K
Hayo unayoyataka yanahitaji fedha swali je serikali yako inaweka fedha usione China wanazalisha bidhaa unaenda nunua kariakoo nyuma yake kuna uwekezaji wa matrillion sio kazi ndogo hata kidogo kama unavyodhani
Kwahy vp kuhusu zile report za CAG zinazotafunwa ni kokoto au?
 
Mtoa Uzi utaanza kusikia anatafutwa
Nyie ndo mnarudisha nyuma jutihada za kuisaidia Nchi yetu kusonga mbele, mtu akianza kutoa mtazamo wake na kuonyesha mapungufu yaliyopo ndani ya mifumo...mnahisi kanajisi mifumo au kalikosea Sana nchi kumbe ndo chanzo Cha Mifumo/Majeshi yetu kutambua wapi wanakwama na ni vp waweze kurekebisha Yale mapungufu na kuweza kusonga mbele Kwa maendeleo mazuri zaidi .
Acha uwoga..
 
Kwa namna Dunia ilipofikia sasa Jeshi letu lilipaswa kuwa na miradi ya mikakati ndani ya nchi Kwa ajili ya kuongeza ufanisi Jeshini pamoja na kuingizia kipato Serikali yetu..Kwa mfano.
Jeshi lilipaswa kuwa ndo Kinara wa uzalishaji wa Mazao ya kilimo, Lilipaswa kuwa kinara wa kutengeneza vipuli vya viwandani..lilipaswa kuwa kinara wa kutengeneza madawa ya mahospitali pamoja na ya kilimo, Jeshi lilipaswa kuwa ndo Kitovu Cha Sayansi na ugunduzi...kuwa mahabara za kisayansi na research kwenye kila nyanja.
Jeshi lilipaswa kuwa na Viwanda vya nguo, viwanda vya viatu...hata magari yanayotengenzwa pale Nyumbu yaboreshwe waanze kutengeneza Kwa matumizi ya public...Jeshi liwe na Kampuni kubwa ya kutengeneza Barabara na madaraja Kwa ajili ya dharura apa nchini...
Zipo shughuli nyingi ambazo Jeshi letu linaweza kufanya kulingana na idadi kubwa ya watahalam na wasomi waliomo ndani ya Jeshi...lkn tatizo ni muundo wetu wa Jeshi letu ndo kikwazo.
Kingine Kwa sasa kuingia Jeshini ni kama anasa vile, mtoto wa maskini kuja kupata nafasi ya kuingia Jeshini lazima Kuna mtu nyuma yake, kumekuwa na kasumba ya kwamba iliuweze kuingia Jeshini lazima uwe na Refa...vijana wengi uko JKTwale Kwa Mungu wa Sheria muda wa kuingia Jeshini unapofika wanateseka Sana kuingia km tu huna mtu wa kukushika mkono hata km una vigezo vyote.
Njoo kwenye swala la kozi za ndani..uko ndo upuuzi na ujinga ni mwingi askari wengi Sana wananyanyaswa Kwa kuporwa pesa zao bila ya ridhaa zao..Kwa maana usipotoa pesa kipindi cha kozi unaweza kufelishwa au kufukuzwa kozi, kwaiyo unakuta kila mwanafunzi ndani ya kozi lazima hatoe pesa kutoka ndani ya msharara wake...na mengine mengi ya ajabu ndani ya Chombo...
Njoo kwenye usaili wa kwenda Chuo Cha kijeshi Monduli, ahaaa uko ndo Kuna upendeleo wa ajabu Sana, unaambiwa wakubwa ndo wanaopenyeza majina ya watu wao Kwa interest zao..hata km mtu una vigezo vyote ukiona umepita ujue Mungu amekupigania aise, majority ya wanafunzi wengi ni wamepitishwa Kwa kujuana na wakuu.
Lkn mwisho wa siku Jina lako linakatwa na uwezi Fanya lolote kuhoji Wala kulipinga maana Jeshini unaambiwa ni amri.
Yapo mambo mengi sana yanapaswa kure kebishwa Jeshini kusidi liendane na nyakati tulizonazo.
Naamini Jeshi letu linafanya mambo mengi kwa siri haliwezi kuweka kila kitu wazi.

Kuna ma amBregadia, Kanali, na ma general sidhani kama mambo haya uliyooleza hawayajui
 
Wanayajua Sana...lkn wanakuambia kijana...nimekaribia kustaafu niache.😊😊😆
 
Hayo unayoyataka yanahitaji fedha swali je serikali yako inaweka fedha usione China wanazalisha bidhaa unaenda nunua kariakoo nyuma yake kuna uwekezaji wa matrillion sio kazi ndogo hata kidogo kama unavyodhani
Kwa hiyo waendelee tu kunyang'anya ujasiliamali wa raia?
 
JWTZ na ndugu yake JKT, waliapaswa kuwa ndio centre ya kuibua viwanda vya kizalendo Tanzania hii, Walipaswa kuwa ndio sehemu ya watu kwenda kujifunza uchumi wa kizalendo, Watu kwenda kujifunza kuto penda bidhaa za nje na wathamini bidhaa za ndani ya nchi kamam sehemu ya Uzalendo.

Centre ya uchumi wa kizalendo, made in Tanzania ilipaswa kuonekana pale.

Cha kusikitieha JKT unakuta wana miradi eti Gari lori za kusombea watu mchanga,

- Wana Maduka ya Hardware, wanafyatua tofali za kuuza, wana zoa taka mitaani, wana kampuni ya kufanya usafi mtaani, wana kampuni sijui za fumugations, wanakata bima za vyombyo vya moto.

To be honest hizi ni project za kureflect uwezo wetu kwenye kufikiria sio project za kizalendo hata kidogo haziwalishi uzalendo wa nchi hata kidogo.

JKT walipaswa kuwa na viwanda vyao vya kuunda zana rahisi hata za kilimo, Afya na kadhlika, walipaswa kuwa na maabara za kutafiti madawa hata ya miti shamba kama India na kuyazalisha na kuuza na hata ku export nje.

Sasa JKT kuwa na maduka ya Hardware ni mambo ya ajabu mno wanashindana na raia mtaani?

JWTZ Sasa
Hawa wana frame, wana kumbi za harusi, mara wana mradi wa kupasua kokoto, hizi ni project za aibu kufanywa na Jeshi la Ulinzi na usalama.

Sijui kama Duniani kuna nchi nyingine jeshi lake wana aina hizi za project, Frame ni vitu vya hovyo sana na vya kuonyesha kiwango chetu cha kuwaza kwamba tusivyo creativity tunao tegemea kuwa dampo..

JWTZ kwa uwezo wao walipaswa kuwa na kituo cha kutafiti na kuja na solution ya baadhi ya matatizo ya kijamii na kijeshi Kiwanda cha nyumbu kile kilipaswa kuwa kina export magari ya kijeshi na ya kiraia, kilipaswa ndicho kinazalisha mabus ya Magereza, Police, JKT na hata magari ya Serikali baadhi.

Ni aibu JWTZ na wao kushindana kuendesha Youtong wakati wana uwezo wa kuwekeza kwenye kiwanda cha nyumbu na wakazalisha mabasi yao mazuri kabisa.

Frame ni projects za aibu kwa JWT Na sijui kama kuna watu wa kuwashauri kuwaambia hizi ni project za aibu waachane nazo waachie watu wa kawaida mtaani.

Kuna siku watakuja na biashara za kukaanga Chipa hivi hivi tukiangalia.

JWTZ na JKT wanapaswa kuwa ndio kipimo cha projects za kizalendo Projects za made in Tanzania, projects za kuonyesha kwamba tunaweza.
Mkuu umewaza mbali sana.
Imagine mpaka leo, JW wanafanya biashara ya frames. Wana maeneo potential sana, ambayo wangeweza kuyageuza na kuweka miradi yenye tija kwa taifa.

Mfano, hivi kweli JW na wadogo zao JKT wanashindwa hata kufungua kiwanda cha mass production ya bajaji? Imagine mpaka leo bajaji tunaagiza India. Aliye karibu na MKENDA amwambie. Aje na vision ya kulibadirisha jeshi letu. Aachane na hii frame economy. Kweli JW mnafyeka msitu kujenga frames?
Watu wa mikopo ya vicoba na wastaafu wafanye biashara gani?

Tunahitaji viongozi wetu wawe na maono ya mda Mrefu. Mfano JW wangepewa jukumu la kusimamia vision ya made in Tanzania 🇹🇿. But where!

Imagine mpaka leo wafungwa wanalishwa kwa kodi zetu. Wangeweza kujikita kwenye uzalishaji wa vyakula, wakafanya ufugaji wenye tija, wakasindika vyakula na kuuza hata nje. Wangeweza kulima mboga mpaka za kuexport….., Ufugaji wa ngombe, nguruwe, kuku etc

Ukienda ofisi za wakubwa serikalini furniture mostly ni mdfs kutoka 🇨🇳…tujitafakari, kama taifa.

Watu wakipiga kelele kwamba taifa letu linakosa viongozi wenye maono, wengi wanaonekana wapinzani. So sad.
 
Jeshi libafilike sasa ,liwe la kisasa zaidi liachane na ujasiliamali lijikite kwenye mambo makubwa na muhumu, dunia inabadilika kila uchwao
 
Mkuu umewaza mbali sana.
Imagine mpaka leo, JW wanafanya biashara ya frames. Wana maeneo potential sana, ambayo wangeweza kuyageuza na kuweka miradi yenye tija kwa taifa.

Mfano, hivi kweli JW na wadogo zao JKT wanashindwa hata kufungua kiwanda cha mass production ya bajaji? Imagine mpaka leo bajaji tunaagiza India. Aliye karibu na MKENDA amwambie. Aje na vision ya kulibadirisha jeshi letu. Aachane na hii frame economy. Kweli JW mnafyeka msitu kujenga frames?
Watu wa mikopo ya vicoba na wastaafu wafanye biashara gani?

Tunahitaji viongozi wetu wawe na maono ya mda Mrefu. Mfano JW wangepewa jukumu la kusimamia vision ya made in Tanzania 🇹🇿. But where!

Imagine mpaka leo wafungwa wanalishwa kwa kodi zetu. Wangeweza kujikita kwenye uzalishaji wa vyakula, wakafanya ufugaji wenye tija, wakasindika vyakula na kuuza hata nje. Wangeweza kulima mboga mpaka za kuexport….., Ufugaji wa ngombe, nguruwe, kuku etc

Ukienda ofisi za wakubwa serikalini furniture mostly ni mdfs kutoka 🇨🇳…tujitafakari, kama taifa.

Watu wakipiga kelele kwamba taifa letu linakosa viongozi wenye maono, wengi wanaonekana wapinzani. So sad.
Shida ni pale juu
 
Back
Top Bottom