Habarini wadau,
Wiki hiii naona miraruano na mitifuano ndani ya vyama vya siasa yote haya yanatokea kama vile vyama havina viongozi. Ni wakati wa kujitathmini kwa viongozi wa vyama hivi vikubwa.
Tumeona jana gazeti pendwa limetoka na habari ya kimtifuano ndan ya chama mpaka gazeti linakwenda kwa wapenzi wasomaji likiwa na habari nzito ya ndani ya chama.
Muda huu tena ndani ya chama cha upinzani kijana muaminifu kada mtiifu anararuana vikali na mchezaji wa mkopo toka ugaibuni shemasi hizi ni faida kubwa sana kwenya vyama vingine.
Rai yangu mimi kwenu viongozi hii inaonesha wazi kuna nyufa ndani yake basi ifanyike tiba ndani ya vyama hivo