Huo upumbavu, elimu sio urithi kwa sasa urithi ni hela na mali. Mnaumiza watoto bila sababu kwakuwa mnaona hawana uwezo wakujiamulia tangu wadogo. Kimsingi hizo million 4 unazolipa ada ungeweza kuwanunulia viwanja kila mtu heka moja yake kwa miaka 20 ijayo zingewafaa mno kuliko ujinga wa kuzilipa Tusiime ili tu waongee kizungu.Watoto ukisha wasomesha wakafikia kujitegemea huo nd'o urithi wao tosha.
Nitawapa Elimu kwa kiwango watakachofikia but mali ni zangu na mke wangu.Hayo maisha watayatafutia wapi pasipo kuwaandalia wewe mzazi?
Acha kukimbia majukumu yako wewe. Kama hutaki kuwaachia watoto wako urithi, basi usizae.
Hata Mzee wetu tunamshauri a dispose property zake a enjoy maisha yake ana 79yrs now.Nitawapa Elimu kwa kiwango watakachofikia but mali ni zangu na mke wangu.
Ukifa mali zako nani atarithi au utawapa marafiki zakoMtu afurahie maisha yake angali hai. Watoto wasomeshe vizuri,walee vizuri waweze kuzalisha mali zao wenyewe. Nani amesema watoto future yao ni mali za wazazi wao?
Na ukifa hizo mali nani atabaki nazoNitawapa Elimu kwa kiwango watakachofikia but mali ni zangu na mke wangu.
Namaanisha Stiv ake aandike wosiaUnajaribu kumaanisha kwambaaa.....
Dah!!!.. Umeenda deep. Mpaka Harrier old model! Anyways, ndiyo maisha ya uhalisia - hujulikana baada ya mautiCelebrities anaabudu pombe na Mademu. Siku likimkuta Jambo anaaibika hadharani kabla na baada ya Maziko, watoto wanabaki kugawana makochi na harrier old model.
NB: Tengeneza future ya wategemezi wako ukiwa na nguvu.
Mirathi utaandika ELIMU?Watoto ukisha wasomesha wakafikia kujitegemea huo nd'o urithi wao tosha.
na kwa nini ukiwaza mzazi akifa? huo muda wa kuwaza hivyo utumie kutafuta vyako. Mali za wazazi wana haki ya kumpa yeyote maana ni zao na wengi wao hawajarithi kama mnavyofikiria kurithi.Ukifa mali zako nani atarithi au utawapa marafiki zako
Ndo maana kwenye ile list ya matajiri kumi Tanzania wote ni watu weupe (wahindi na warabu) na asilimia kubwa utajiri ulianzia kwa mababu zao wao wanaendelezana kwa nini ukiwaza mzazi akifa? huo muda wa kuwaza hivyo utumie kutafuta vyako. Mali za wazazi wana haki ya kumpa yeyote maana ni zao na wengi wao hawajarithi kama mnavyofikiria kurithi.
vijana amkeni amkeni
nimekuelewa mindset yako iko very shallow, nasema hivyo kwa sababu gani tulia nikueleze. Ukiwa na akili ya kufikiria kuwa mimi nitarithi vya wazazi wangu hutajiendeleza kwa lolote. Najua wazi kuwa endapo mzazi hatakuwa duniani watoto watarithi but pls remove that evil mindset na pambana kama vile hakuna urithi.Ndo maana kwenye ile list ya matajiri kumi Tanzania wote ni watu weupe (wahindi na warabu) na asilimia kubwa utajiri ulianzia kwa mababu zao wao wanaendeleza
Sahivi bakharesa asilimia kubwa ya mali zake wanaendesha watoto wake, same kwa asasi na baba yake dewji
Wangekua na akili za kiafrika wale watoto ungekuta wameajiriwa na wasingekua wasimamizi na ambao wangekua wanasimamia mali na kuzifaidi ni watu wengine
Jasho lako waje wale watu wengine na usio uzao wako hiyo ni laana
Pata picha familia ya mengi ingekua na mindset kama zako leo ungekuta wanaishi maisha magumu sana Kwa kigezo kwamba zile ni mali za baba haziwahusu
Nyie ndo wale wazazi wenu wakifariki hadi nguo zao mtawapa watu wengine kwa madai mnatafuta zenu
Wewe bado ujinga unakusumbua yaani mtoto wangu akaangaike alafu mimi ni tajiri huo ujinga mimi siwezi fanya na ambao ngozi nyeupe hawawezi fanya utawakuta kwa waafrika ndo maana mwafrika akifa ghafla ni migogoro na mda sio mrefu urajiri wote unapuputika sababu watoto hawakuandaliwa kwa kupewa urithi mapemanimekuelewa mindset yako iko very shallow, nasema hivyo kwa sababu gani tulia nikueleze. Ukiwa na akili ya kufikiria kuwa mimi nitarithi vya wazazi wangu hutajiendeleza kwa lolote. Najua wazi kuwa endapo mzazi hatakuwa duniani watoto watarithi but pls remove that evil mindset na pambana kama vile hakuna urithi.
jiulize tu hao unaosema ni wazazi wao walirithishwa? amkeni vijana
Ubinafsi tu mkuu, yaani vitu ambavyo ni wajibu wake kwa mtoto anataka kufanya ionekane ni hisani.Ndo maana nimemtolea mfano huu hapa
Chini
Na hizi akili kama zako zinawafanya matajiri wengi ngozi nyeusi wakifa na utajiri wao unapuputika wote na wanaoufaidi ni marafiki zako sababu ndo wanajua abc za mali na sio familia yako
Kuna faida gani unakufa wewe alafu marafiki zako na watu wako wengine ndo wanaofaidi matunda ya jasho lako huku familia ukiacha kwenye mateso
Wahindi na warabu wanarithishana nali unakuta utajiri ulianzia kwa babu unaenda mpaka kwa wajukuu lakin ni kawaida sana muafrika kufariki leo na utajiri wote ukamfuata yaani unapambana kwa ajili ya kuneemesha familia za rafiki yako