Mirathi ya Celebrities Bongo kizungumkuti

Mirathi ya Celebrities Bongo kizungumkuti

Watoto ukisha wasomesha wakafikia kujitegemea huo nd'o urithi wao tosha.
Huo upumbavu, elimu sio urithi kwa sasa urithi ni hela na mali. Mnaumiza watoto bila sababu kwakuwa mnaona hawana uwezo wakujiamulia tangu wadogo. Kimsingi hizo million 4 unazolipa ada ungeweza kuwanunulia viwanja kila mtu heka moja yake kwa miaka 20 ijayo zingewafaa mno kuliko ujinga wa kuzilipa Tusiime ili tu waongee kizungu.
 
Celebrities anaabudu pombe na Mademu. Siku likimkuta Jambo anaaibika hadharani kabla na baada ya Maziko, watoto wanabaki kugawana makochi na harrier old model.

NB: Tengeneza future ya wategemezi wako ukiwa na nguvu.
Dah!!!.. Umeenda deep. Mpaka Harrier old model! Anyways, ndiyo maisha ya uhalisia - hujulikana baada ya mauti
 
na kwa nini ukiwaza mzazi akifa? huo muda wa kuwaza hivyo utumie kutafuta vyako. Mali za wazazi wana haki ya kumpa yeyote maana ni zao na wengi wao hawajarithi kama mnavyofikiria kurithi.
vijana amkeni amkeni
Ndo maana kwenye ile list ya matajiri kumi Tanzania wote ni watu weupe (wahindi na warabu) na asilimia kubwa utajiri ulianzia kwa mababu zao wao wanaendeleza
Sahivi bakharesa asilimia kubwa ya mali zake wanaendesha watoto wake, same kwa asasi na baba yake dewji
Wangekua na akili za kiafrika wale watoto ungekuta wameajiriwa na wasingekua wasimamizi na ambao wangekua wanasimamia mali na kuzifaidi ni watu wengine

Jasho lako waje wale watu wengine na usio uzao wako hiyo ni laana
Pata picha familia ya mengi ingekua na mindset kama zako leo ungekuta wanaishi maisha magumu sana Kwa kigezo kwamba zile ni mali za baba haziwahusu

Nyie ndo wale wazazi wenu wakifariki hadi nguo zao mtawapa watu wengine kwa madai mnatafuta zenu
 
nimekuelewa mindset yako iko very shallow, nasema hivyo kwa sababu gani tulia nikueleze. Ukiwa na akili ya kufikiria kuwa mimi nitarithi vya wazazi wangu hutajiendeleza kwa lolote. Najua wazi kuwa endapo mzazi hatakuwa duniani watoto watarithi but pls remove that evil mindset na pambana kama vile hakuna urithi.
jiulize tu hao unaosema ni wazazi wao walirithishwa? amkeni vijana
 
Wewe bado ujinga unakusumbua yaani mtoto wangu akaangaike alafu mimi ni tajiri huo ujinga mimi siwezi fanya na ambao ngozi nyeupe hawawezi fanya utawakuta kwa waafrika ndo maana mwafrika akifa ghafla ni migogoro na mda sio mrefu urajiri wote unapuputika sababu watoto hawakuandaliwa kwa kupewa urithi mapema

Wewe kapambane kwa sababu wazazi wako hawana kitu
Lakin wazazi wako wana utajiri unapambania utajiri wa wazazi wako ukue zaid ndo urithi wenu ndo walichofanya wakina dewji na watoto wa asas na sahivi watoto wa bakharesa

Mimi nijue mtoto wangu anasubiria urithi kutoka kwangu hilo kamwe haliwezi nisumbua akili
Yaani sisi wafrika tunataka mateso na struggle tulizopitia na watoto wetu wapitie tuna ubinafsi sana
 
Ndo maana nimemtolea mfano huu hapa
Chini

Na hizi akili kama zako zinawafanya matajiri wengi ngozi nyeusi wakifa na utajiri wao unapuputika wote na wanaoufaidi ni marafiki zako sababu ndo wanajua abc za mali na sio familia yako

Kuna faida gani unakufa wewe alafu marafiki zako na watu wako wengine ndo wanaofaidi matunda ya jasho lako huku familia ukiacha kwenye mateso

Wahindi na warabu wanarithishana nali unakuta utajiri ulianzia kwa babu unaenda mpaka kwa wajukuu lakin ni kawaida sana muafrika kufariki leo na utajiri wote ukamfuata yaani unapambana kwa ajili ya kuneemesha familia za rafiki yako
Ubinafsi tu mkuu, yaani vitu ambavyo ni wajibu wake kwa mtoto anataka kufanya ionekane ni hisani.
 
Back
Top Bottom