Ndo maana kwenye ile list ya matajiri kumi Tanzania wote ni watu weupe (wahindi na warabu) na asilimia kubwa utajiri ulianzia kwa mababu zao wao wanaendeleza
Sahivi bakharesa asilimia kubwa ya mali zake wanaendesha watoto wake, same kwa asasi na baba yake dewji
Wangekua na akili za kiafrika wale watoto ungekuta wameajiriwa na wasingekua wasimamizi na ambao wangekua wanasimamia mali na kuzifaidi ni watu wengine
Jasho lako waje wale watu wengine na usio uzao wako hiyo ni laana
Pata picha familia ya mengi ingekua na mindset kama zako leo ungekuta wanaishi maisha magumu sana Kwa kigezo kwamba zile ni mali za baba haziwahusu
Nyie ndo wale wazazi wenu wakifariki hadi nguo zao mtawapa watu wengine kwa madai mnatafuta zenu