Mtu afurahie maisha yake angali hai. Watoto wasomeshe vizuri,walee vizuri waweze kuzalisha mali zao wenyewe. Nani amesema watoto future yao ni mali za wazazi wao?
Aisee! Unachekesha sana!Mirathi ya Waislam haina kwere
Urithi wa mtoto ni elimuHayo maisha watayatafutia wapi pasipo kuwaandalia wewe mzazi?
Acha kukimbia majukumu yako wewe. Kama hutaki kuwaachia watoto wako urithi, basi usizae.
Malkia kumbe ngumbaru kama Paula?Vijana wapewe elimu bora kwanza Maria Careen angekuwa Kama amesoma Ana Elimu angeishi maisha mazuri na angemuokoa baba yake katika tabia za ulevi na uzinzi.
Afande sele- ndo msanii ambaye kafanikiwa kumlea mtoto wake tunda na sasa hivi tunda , Ana degree nzuri na ameajiriwa and everything is OK.
Umaarufu fake unatesa.
Alisoma TIA ya Mbeya Sasa sijui alikua level ipiMtoto unabidi umpe elimu Kama Alivyofanya Afande sele .
Ukimwangalia Tunda wa Afande sele unaona utofauti mkubwa Sana na waswahili wengine kama mtoto wa Garner
Degree and now she is already employedAlisoma TIA ya Mbeya Sasa sijui alikua level ipi
That is bullyingHivi yule mtoto wa Monalisa mwenye sauti kama Subaru kaishia wapi?
How? Punguza stressThat is bullying
Jamii isiyojitambua ndiyo hukaa kusubiri urithi. Jaribu kusoma mamilionea wengi wa majuu wanavyogawa mali zao kwa charities na kuwaachia watoto kidogo sana. Urithi mzuri kabisa kwa watoto ni elimu nzuri na malezi mazuri.Urithi lazima
Elimu na malezi ni jukumu lakini hapo hapo ni urithi.Malezi ni wajibu sio urithi huo, nyie ndo mnasemaga ooh mwanangu elimu ndo urithi wako, mnakwepa majukumu kwa ubinafsi wenu
Narudia tena: jamii isiyojitambua ndiyo inakaa kutegemea urithi wa wazazi.Nikusaidie urith ni mali na sio elimu
Elimu kwa mtoto ni basic needs sio urithi ni wajibu wa kumsomesha mtoto
Urithi ni mali na sio kitu kingine
Hivi yule mtoto wa Monalisa mwenye sauti kama Subaru kaishia wapi?