Mirathi ya Celebrities Bongo kizungumkuti

Mirathi ya Celebrities Bongo kizungumkuti

Mtu afurahie maisha yake angali hai. Watoto wasomeshe vizuri,walee vizuri waweze kuzalisha mali zao wenyewe. Nani amesema watoto future yao ni mali za wazazi wao?

Kama ni mkristo. Kutomuachia mtoto wako urithi wa mali maana yake unapingana na agizo la Mungu.

Elimu sio urithi. Elimu ni basic need kama ilivyo chakula na mavazi. Urithi ni pesa na mali
 
Vijana wapewe elimu bora kwanza Maria Careen angekuwa Kama amesoma Ana Elimu angeishi maisha mazuri na angemuokoa baba yake katika tabia za ulevi na uzinzi.

Afande sele- ndo msanii ambaye kafanikiwa kumlea mtoto wake tunda na sasa hivi tunda , Ana degree nzuri na ameajiriwa and everything is OK.

Umaarufu fake unatesa.
Malkia kumbe ngumbaru kama Paula?
 
Back
Top Bottom