MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,410
- 8,184
Mtu afurahie maisha yake angali hai. Watoto wasomeshe vizuri,walee vizuri waweze kuzalisha mali zao wenyewe. Nani amesema watoto future yao ni mali za wazazi wao?
Kama ni mkristo. Kutomuachia mtoto wako urithi wa mali maana yake unapingana na agizo la Mungu.
Elimu sio urithi. Elimu ni basic need kama ilivyo chakula na mavazi. Urithi ni pesa na mali