Blue Bahari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,851
- 2,171
Mjaluo mwenzake.Kama Dijaro Arungu kaacha kazi sasa Besti Nasso si atakua analia Sana maana ndo msaniii pekee ambae nyimbo zake hazipigwi radio yoyote zaidi ya TBC alafu hapo TBC yenyewe ilikua zinapigwa kwenye kipindi cha dijaro arungu tu.
Kwa hiyo lengo lake siyo kutupatia taarifa, nali ni kututaka tumuulize analia nini au wamemfanya nini?Jinamizi la watangazaji kuacha kazi bado linaendelea kuitafuna TBC, Mtangazaji mwengine mkongwe Miriam Migomba ametangaza kuondoka Shirika la Utangazaji Tanzania TBC baada ya kuhudumu kwa muda mrefu.
Migomba anakuwa mtangazaji wa pili kuondoka kwenye Shirika hilo ndani ya mwezi mmoja baada ya Djaro Arungu kuondoka wiki iliyopita.
View attachment 2898427
Video: Djaro Arungu aacha kazi TBC
Mtangazaji wa kipindi cha "Papaso" Djaro Deus Arungu, ametangaza kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa kuanzia leo sio mfanyakazi wa TBC FM. ANGALIA VIDEO HAPA Djaro amefanya kazi TBC kwa muda wa miaka 20. Written by Mjanja M1 ✍️www.jamiiforums.com
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1 ✍️
Mkuu, nakubaliana na wewe,Katika blunder ambayo Magufuli alifanya ni kuwapa vyeo vya kiutendaji academicians ndani ya Serikali the so called Ma doctors na Professors, hawa watu managerial skills ni zero.
Waachwe waendelee kufundisha na kuwafokea wanafunzi ndio level yao.