Miriam Migomba aacha kazi TBC

Miriam Migomba aacha kazi TBC

Jinamizi la watangazaji kuacha kazi bado linaendelea kuitafuna TBC, Mtangazaji mwengine mkongwe Miriam Migomba ametangaza kuondoka Shirika la Utangazaji Tanzania TBC baada ya kuhudumu kwa muda mrefu.

Migomba anakuwa mtangazaji wa pili kuondoka kwenye Shirika hilo ndani ya mwezi mmoja baada ya Djaro Arungu kuondoka wiki iliyopita.

View attachment 2898427


Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1 ✍️
Kwa hiyo lengo lake siyo kutupatia taarifa, nali ni kututaka tumuulize analia nini au wamemfanya nini?
 
whatever the matter, life has to on. Dunia haiwez simama. Na sio wa kwanza kuacha kazi..na hatakua wa mwisho
 
Katika blunder ambayo Magufuli alifanya ni kuwapa vyeo vya kiutendaji academicians ndani ya Serikali the so called Ma doctors na Professors, hawa watu managerial skills ni zero.

Waachwe waendelee kufundisha na kuwafokea wanafunzi ndio level yao.
Mkuu, nakubaliana na wewe,
Taarifa nazozipata kutoka pale Jalalani, issue ya Managerial Skills ni tatizo! watumishi wanaomba kuondoka kila kukicha.
 
Back
Top Bottom