Sawaa Nabii wa Uongo ,Tumekuelewaa
Baba yako mwenyewe tapeli na mhuni ukibisha nakuwekea ushahidi
Hahahaaaa...... Ni mtazamo tu bwashee!Bwashee acha uchokoz
Basi endelea na uongo wako ukifa tu utagundua point na utakuwa umeshachelewa
Gwajima siyo Askofu ni mfanyabiashara wa diniKuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri.
Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi bali yalijaa busara, hekima na Upendo.
Kiukweli ipo tofauti ya kutosha kabisa baina ya maaskofu wa haya makanisa rasmi na wale wa Huduma za kiroho.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
haya kachukue form ugombee nawe......sasa ratiba za ibada za nini wakati roho anawaongoza. Sisi tunaweka muda alafu tunamsihii roho awe nasi kutuongoza ktk muda huo wa ibada zetu...hahahahWeee mjinga kabisa. Tangu lini roho akafwata taratibu za wanadamu. Kasome bibilia ndio urudi uchangie.
Hakuna watu waabudio shetani kama Roman CatholicAsante ila yeye sidhani nisaidieni kumwelewesha. Watu wamebaki kusifia mavazi na makofia wakidhani kuwa zitafungua milango ya mbinguni
Mbenge hizi codes zako ni ngumu kumeza aisee hebu jaribu ku elaborate kidogo mkuuMzee wetu "belongs to many societies in his faith" Wakatoliki wamekwisha maliza heshima yao kwake, bado tusubiri wale wa "Paris Club" ambao ni lazima "chronologically" Mkulu wetu akapate kuwa ndiye mwana mrithi na kupewa ile pete ya maagano.
Ile zawadi ya tausi wale, wale, wale! Nje ya maagano ya mbio za mwenge wa uhuru, ni balaa tupu, ni misiba baada ya misiba. Ingawaje ni " consipiracy theory" bali yanayokwenda kutokea ni kifo rasmi ya chama tawala. Mods lirudisheni jukwaa la dini/imani ili yale yaliyokusudiwa kwa taifa hili, watumishi wa Mungu aliye hai wakapate kuyaweka hadharani.
Imani iimarishwe na kanisa katoliki kweli??,[emoji15][emoji15][emoji15]Kanisa katoliki ni kanisa makini katika nyanja zote na kwa umakini wake waumini wake wananufaika sana kwa kupata mafunzo ya kiimani kutoka kwa viongozi makini.Jambo linalosaidia sana kuiimarisha imani za waumini wakatoliki ulimwenguni pote!
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Acha ubishi,huwezi linganisha Katoliki na hao wacheza porn kina Gwajima.
Lakini si unajua kuwa hata huyo Shetan ni mungu? Ndo maana wanatamani msijue hiloHakuna watu waabudio shetani kama Roman Catholic
Yaa natambua shetani ni mungu ila sio MunguLakini si unajua kuwa hata huyo Shetan ni mungu? Ndo maana wanatamani msijue hilo
Mapepo ni maigizo kwa kuvutia biashara za watu,.[emoji3][emoji3] najaribu kufikilia paroko anavyokemea pepo kwa upole
"Toka pepoooo uende zakooo"
Kuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri.
Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi bali yalijaa busara, hekima na Upendo.
Kiukweli ipo tofauti ya kutosha kabisa baina ya maaskofu wa haya makanisa rasmi na wale wa Huduma za kiroho.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Hata pia Mafarisayo walipenda sana kujigamba kuwa ni wafuasi wazuri wa dini yao.Mimi ni muislam niliye mfuasi mzuri wa DINI yangu, Ila kiukweli huwa nasuuzika sana kila jumapili ninapofuatilia misa za kanisa katoliki kupitia televisheni.Leo nilifarijika Sana kumuona askofu Ngalalekumtwa akitutuliza na kutujaza hisia za ukweli kabisa.
Nisieleweke vibaya kuwa hao waliotajwa hawana maana laa laa Ila nimeacha tu kuwafuatilia kwenye televisheni km nilivyoacha kabisa kuwafuatilia ndugu zetu Answaar Sunna a.k.a Wahabi na pia Sina maana nawadharau Answaar Sunna hapana.
Peace
Rip BWM