Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
Hilo andiko la "juu ya mwamba huu" tafsiri yake mmepotoshwa sana.Nakuona mfuasi wa Ellen G White katika ubora wako [emoji23][emoji23][emoji23] Usishindane na kanisa la Kristo!
MT 6: 18 Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.
19 Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni; na lo lote utakalolifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni; na lo lote utakalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni.
Mwamba huu ni ufunuo aliyokuwa nao Petro kwa kumjua Yesu ya kuwa: "wewe ndiwe Kristo Mwana wa Mungu aliye hai"
Siku ukipokea wokovu utafunuliwa haya