Misa ya Mkapa: Nimeona tofauti kubwa kati ya maaskofu wa Katoliki na wale wa makanisa kama la Gwajima!

Misa ya Mkapa: Nimeona tofauti kubwa kati ya maaskofu wa Katoliki na wale wa makanisa kama la Gwajima!

Nakuona mfuasi wa Ellen G White katika ubora wako [emoji23][emoji23][emoji23] Usishindane na kanisa la Kristo!

MT 6: 18 Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.

19 Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni; na lo lote utakalolifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni; na lo lote utakalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni.
Hilo andiko la "juu ya mwamba huu" tafsiri yake mmepotoshwa sana.

Mwamba huu ni ufunuo aliyokuwa nao Petro kwa kumjua Yesu ya kuwa: "wewe ndiwe Kristo Mwana wa Mungu aliye hai"

Siku ukipokea wokovu utafunuliwa haya
 
Inasikitisha Sana watu wanasua Sua kwenda kuaga ..:. Sijui upendo na Umoja wetu Uko wapi ..:.
Siku za karibuni hatufanyi mambo kitaifa iwe sherehe au misiba

We need National Ünity .... mambo ya kuanzia kupazimisha watu kuaga hayakua utamaduni wetu ... utaona hata Timu ya Taifa ikifungwa watu hufurahi
 
Hilo andiko la "juu ya mwamba huu" tafsiri yake mmepotoshwa sana.

Mwamba huu ni ufunuo aliyokuwa nao Petro kwa kumjua Yesu ya kuwa: "wewe ndiwe Kristo Mwana wa Mungu aliye hai"

Siku ukipokea wokovu utafunuliwa haya
Mkuu Biblia ipo straight haijapinda pinda! Mbona maandishi mengine mnaya'quote' kama yalivyo ila maandiko yanayoenda kinyume nanyi kama hili ndiyo mnajidai ooh sijui tafsiri imepotoshwa [emoji23][emoji23][emoji23] Basi tufanye na maandishi mengine yamepotoshwa!
 
Pengine wewe siyo mkristo lakini kwa njia yoyote huwezi kulinganisha dhehebu la Roma lenye wafuasi zaidi ya billion duniani na umri wa zaidi miaka 1000 na kitega uchumu cha Gwajima. RC ni taasisi yenye mifumo na miundo ya kamili ya kiuatawala.
 
Hilo andiko la "juu ya mwamba huu" tafsiri yake mmepotoshwa sana.

Mwamba huu ni ufunuo aliyokuwa nao Petro kwa kumjua Yesu ya kuwa: "wewe ndiwe Kristo Mwana wa Mungu aliye hai"

Siku ukipokea wokovu utafunuliwa haya
Hueleweki na huenda huelewi. Huo siyo ufunuo bali ni maneno yaliyokuwa ya wazi ya Yesu Kristo kwa Petro. Yesu alimweka Petro kuwa kiongoxi wa kwanza wa Kanisa lake.

Usikimbie kutumia milango ya ufahamu uliyojaliwa na mwenyezi Mungu kwa kukimbilia tafsiri potofu ya ufunuo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri.

Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi bali yalijaa busara, hekima na Upendo.

Kiukweli ipo tofauti ya kutosha kabisa baina ya maaskofu wa haya makanisa rasmi na wale wa Huduma za kiroho.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Hawa si ndio walitaka kufunga makanisa na wengine wakafunga kisa wanaogopa Corona, mpaka Rais Magufuli akawekemea,. Wewe umekwenda kuangalia mavazi tu sio 1 Samweli 16 7
Lakini BWANA akamwambia Samweli, Usimtazame uso wake, wala urefu wa kimo chake; kwa maana mimi nimemkataa. BWANA haangalii kama binadamu aangaliavyo; maana wanadamu huitazama sura ya nje, bali BWANA huutazama moyo.

kingine. Mungu wetu hahangaiki na mavazi yenu, Yeye anaangalia moyo
 
Kuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri.

Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi bali yalijaa busara, hekima na Upendo.

Kiukweli ipo tofauti ya kutosha kabisa baina ya maaskofu wa haya makanisa rasmi na wale wa Huduma za kiroho.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Gwajima atakuwa muubiri wa Chama
 
KUOKOKA NI LAZIMA. USIPOOKOKA UTAANGAMIA KWENYE MOTO WA MILELE. SAA YA WOKOVU NI SASA.

Yesu ni Bwana.
KIJANA WANGU UNAYE JIITA DAMU YA YESU. Hata yesu mwenyewe alisema si kila mtu aniitae bwana bwana, ataingi katika ufalme wake.Kujiita kuwa umeokoka akutakusaidia kupata wokovu. BALI NI WALE WATENDAO MPENZI YS MUNGU. Mungu anapenda nn kwa mwanadamu ?. MUNGU ANAPENDA KUABUNDIWA ( IBADA) Na ibada ni neno pana sana na inamfumo wake ambao MUNGU mwrnyewe aliuweka. Siyo mara ; maji ya upako, kitambaa, kukanyaga mafuta nk.
 
Kuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri.

Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi bali yalijaa busara, hekima na Upendo.

Kiukweli ipo tofauti ya kutosha kabisa baina ya maaskofu wa haya makanisa rasmi na wale wa Huduma za kiroho.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Ni sawa na ukisikiliza hotuba ya makamu mwenyekiti wa CCM(Mangula) na ulinganishe na mihemko ya hotuba ya makamu mwenyekiti wa chama chetu (anayekuja).
 
Kuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri.

Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi bali yalijaa busara, hekima na Upendo.

Kiukweli ipo tofauti ya kutosha kabisa baina ya maaskofu wa haya makanisa rasmi na wale wa Huduma za kiroho.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Kakojoe ukalale sasa
 
Mkuu usifananishe Maaskofu wa kweli na mhuni na tapeli Gwajiboy. Huyo kawapata wajinga wake anaendelea kuwatapeli.
Baba yako mwenyewe tapeli na mhuni ukibisha nakuwekea ushahidi
 
Kwa hiyo wewe ulitaka wafanane ,kweliii Akili Ni NYWELE Kila mtu ana zakee ,
Wewe mwenyewe hata na ndugu zako hamfanani je hao. ,,hapo umafail Sana ndugu
 
Jamaa unataka kutuchezea Akili TU hapo ,we Nenda direct KUWA unataka kumsema Gwajima ,unazunguka mbuyu Sanaa
 
Back
Top Bottom