Misa ya Mkapa: Nimeona tofauti kubwa kati ya maaskofu wa Katoliki na wale wa makanisa kama la Gwajima!

Misa ya Mkapa: Nimeona tofauti kubwa kati ya maaskofu wa Katoliki na wale wa makanisa kama la Gwajima!

MAFARISAYO WALIJITAKASA NA KUJIFANYA WASAFI KUMBE NDANI N MAVI TU
 
Kuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri.

Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi bali yalijaa busara, hekima na Upendo.

Kiukweli ipo tofauti ya kutosha kabisa baina ya maaskofu wa haya makanisa rasmi na wale wa Huduma za kiroho.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Gwajima siyo Askofu ni mfanyabiashara wa dini
 
Weee mjinga kabisa. Tangu lini roho akafwata taratibu za wanadamu. Kasome bibilia ndio urudi uchangie.
haya kachukue form ugombee nawe......sasa ratiba za ibada za nini wakati roho anawaongoza. Sisi tunaweka muda alafu tunamsihii roho awe nasi kutuongoza ktk muda huo wa ibada zetu...hahahah
 
Asante ila yeye sidhani nisaidieni kumwelewesha. Watu wamebaki kusifia mavazi na makofia wakidhani kuwa zitafungua milango ya mbinguni
Hakuna watu waabudio shetani kama Roman Catholic
 
Mzee wetu "belongs to many societies in his faith" Wakatoliki wamekwisha maliza heshima yao kwake, bado tusubiri wale wa "Paris Club" ambao ni lazima "chronologically" Mkulu wetu akapate kuwa ndiye mwana mrithi na kupewa ile pete ya maagano.

Ile zawadi ya tausi wale, wale, wale! Nje ya maagano ya mbio za mwenge wa uhuru, ni balaa tupu, ni misiba baada ya misiba. Ingawaje ni " consipiracy theory" bali yanayokwenda kutokea ni kifo rasmi ya chama tawala. Mods lirudisheni jukwaa la dini/imani ili yale yaliyokusudiwa kwa taifa hili, watumishi wa Mungu aliye hai wakapate kuyaweka hadharani.
Mbenge hizi codes zako ni ngumu kumeza aisee hebu jaribu ku elaborate kidogo mkuu
 
Kanisa katoliki ni kanisa makini katika nyanja zote na kwa umakini wake waumini wake wananufaika sana kwa kupata mafunzo ya kiimani kutoka kwa viongozi makini.Jambo linalosaidia sana kuiimarisha imani za waumini wakatoliki ulimwenguni pote!
Imani iimarishwe na kanisa katoliki kweli??,[emoji15][emoji15][emoji15]
 
Hakuna logic hapo, tofauti nnayoiona mimi ni mafarisayo wenye kufuata sheria na kawaida inayoonekana kwa macho wakati watu kama Gwajima ni mfano wa Petro yani watu ambao media inatumika kuwachafua na kuwafanya waonekane si kitu, Hata Kipindi cha Yesu, Mafarisayo walionekana ni watu wa maana na Yesu akaonekana tapeli anayepotosha watu, hakuna jipya.

Ila ukweli ni kwamba ukatoliki ni dini iliyokuja kuwaandaa watu kuwa wanyenyekevu ili kuwafanya watawalike wakati hao unaowadharau kina gwajima ni watu walioanza kutokea chini na ukitega sikio kuwasikiliza ni watu wanaotumiwa na Mungu kuwafungua watu fikra na kuwatoa kwenye utumwa wa fikra kama wako.
 
Acha ubishi,huwezi linganisha Katoliki na hao wacheza porn kina Gwajima.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Ni kweli
Lakin tofautisha uhalisia na maigizo
Mtawatambua kwa matendo
Siku zote mlevi huwa anajitahd kuonyesha hajakunywa
 
[emoji3][emoji3] najaribu kufikilia paroko anavyokemea pepo kwa upole
"Toka pepoooo uende zakooo"
 
Kuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri.

Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi bali yalijaa busara, hekima na Upendo.

Kiukweli ipo tofauti ya kutosha kabisa baina ya maaskofu wa haya makanisa rasmi na wale wa Huduma za kiroho.

Nawatakia Dominica yenye baraka!

Kanisa Katoliki daima litabaki kuwa ni Kanisa sahihi duniani na ambalo pia lina Makasisi Mahiri na Wastaarabu kama tulivyo na Waumini Wao pia.
 
Mimi ni muislam niliye mfuasi mzuri wa DINI yangu, Ila kiukweli huwa nasuuzika sana kila jumapili ninapofuatilia misa za kanisa katoliki kupitia televisheni.Leo nilifarijika Sana kumuona askofu Ngalalekumtwa akitutuliza na kutujaza hisia za ukweli kabisa.
Nisieleweke vibaya kuwa hao waliotajwa hawana maana laa laa Ila nimeacha tu kuwafuatilia kwenye televisheni km nilivyoacha kabisa kuwafuatilia ndugu zetu Answaar Sunna a.k.a Wahabi na pia Sina maana nawadharau Answaar Sunna hapana.

Peace

Rip BWM
Hata pia Mafarisayo walipenda sana kujigamba kuwa ni wafuasi wazuri wa dini yao.
Wakifikiri kutoa zaka, kufunga na kufanya mambo mengine kama hayo, inatosha, kumbe sivyo.
Anayejua kuwa wewe ni mfuasi mzuri wa dini yako ni Muumba pekee.
 
Back
Top Bottom