ile sadaka pale iliingiaje sasa?Anglican haina tofauti sana na Katoliki!
Sadaka ipi bwashee?ile sadaka pale iliingiaje sasa?
ile iliyochangishwa ya kujenga nyumba za maaskofuSadaka ipi bwashee?
Ile ni sadaka ya kawaida ya Jumapili ila Baraza la maaskofu limeagiza ipelekwe kukarabati nyumba ya mapadre kijijini Lupaso ili kukamilisha ndoto ya mtumishi wa Mungu Benjamin Mkapa.ile iliyochangishwa ya kujenga nyumba za maaskofu
Tuseme marehemu alikuwa hatoi kabisa sadaka kiasi cha kuchangishana misibani? vitega uchumi vyooote vya RC wanashindwa kupata ml 20? jamaniIle ni sadaka ya kawaida ya Jumapili ila Baraza la maaskofu limeagiza ipelekwe kukarabati nyumba ya mapadre kijijini Lupaso ili kukamilisha ndoto ya mtumishi wa Mungu Benjamin Mkapa.
Ingekuwa kwa mzee wa upako wangetoa sadaka ya kawaida na CHANGIZO la ujenzi.
Ile ni misa takatifu na sadaka ni sehemu ya misa.Tuseme marehemu alikuwa hatoi kabisa sadaka kiasi cha kuchangishana misibani? vitega uchumi vyooote vya RC wanashindwa kupata ml 20? jamani
Usinichonganishe na wajumbe [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] umenichekesha hapo kwenye porn
Acha kuwachuza katolik wewe yale magauni yao shetani akitokea unafikili Nani ane pigwa? Maana awapo kivita , shetani inatakiwa maombi yeny vujo na majigambo ili ajifikilie mara mbili mbikukifuataKuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri.
Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi bali yalijaa busara, hekima na Upendo.
Kiukweli ipo tofauti ya kutosha kabisa baina ya maaskofu wa haya makanisa rasmi na wale wa Huduma za kiroho.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Maombi ya kueditiwa shetani anayapenda maana aya mdhuru Tena anakaa kabisa kweny kit na bibilia anasoma ,Yale ya rohoni ndo mazuri shetani asogei amia kwa watu wa rohoni wewe uwone Raha za duniaKuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri.
Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi bali yalijaa busara, hekima na Upendo.
Kiukweli ipo tofauti ya kutosha kabisa baina ya maaskofu wa haya makanisa rasmi na wale wa Huduma za kiroho.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Bahati mbaya mbinguni hatuendi sababu ya dini au dhehebu lakoKatoliki sio kanisa la mchezomchezo
Hilo dangulo ndo zuri kusalia ,changamkia tenda wew,Tena kondoo mgeni ndo anawapendagaKwan hicho kitegauchumi Cha GwajiBoy Uno nacho Ni kanisa? Mi najua Ni danguro ambalo Gwajiboy hujichagulia kondoo mweupe mweupe aliyenona aende kumpiga miti
Binadamu bwana nawe siuanzishe wazo lako upate Ela Kama yeyeMkuu usifananishe Maaskofu wa kweli na mhuni na tapeli Gwajiboy. Huyo kawapata wajinga wake anaendelea kuwatapeli.
NdioUpofu umekujaa, unadhani kurukaruka na kupayuka payuka kama kichaa kwenye majukwaa kama ya akina GJM ndo huduma ya kiroho?
Binadamu bwana nawe siuanzishe wazo lako upate Ela Kama yeye
Ukiona ivyo camera Awana hao ,ndo Mana amuwaoniWala hutawaona kwenye maombi yaliyotangazwa na shehe wa Dsm,kina Gwajima ni watoza ushuru,sadaka zimekosekana wameona wakimbilie kwenye siasa,nako Wajumbe wamefanya yao.
Tatizo kule hawaambiwi wala hawahubiriwi waziwazi waache dhambi au tamaa za dunia hii unakuta mwanzo mpaka mwisho wa ibada mchungaji anatoa hints za namna ya kuwa tajiri,kumiliki gari nzuri mke mzuri etc and unfortunately vijana wengi haya ndo tunayoyatamani hasa wakati huu ajira hakuna pesa haishikiki basi wanakamatika kweli kweliHayo makanisa dizaini ya la Gwajima ndiyo yanayopendwa zaidi na vijana.
Kunani kwenye hizo “huduma za kiroho”?
Wanatakiwa wa badilike Sana maombi yao sio kitu waokoke wawe wa rohoni Tena waende kwa gwaji boyKanisa katoliki ni kanisa makini katika nyanja zote na kwa umakini wake waumini wake wananufaika sana kwa kupata mafunzo ya kiimani kutoka kwa viongozi makini.Jambo linalosaidia sana kuiimarisha imani za waumini wakatoliki ulimwenguni pote!
Kuna kufunguliwa na ndio kweny munguHayo makanisa dizaini ya la Gwajima ndiyo yanayopendwa zaidi na vijana.
Kunani kwenye hizo “huduma za kiroho”?