Mnywani
JF-Expert Member
- Apr 2, 2020
- 774
- 898
Ukatoliki ni ukristo mkongwe kuliko mwingine wowote hivyo kuwa na misingi madhubuti sio cha kushangaza, hao mnaosema hawajui wanachokifanya ni utoto ktk imani, wakikua nao wataimarika, bahati nzuri wanao wazee wajifunze kwao....wakigoma kujifunza watapotea na kufa kama wenzao walioshupaaa na leo tumebaki kuwasoma vitabuni kwamba walikuwagepo...isitoshe nani asiejua haya? Kama hakuna, basi mtoa mada anataka kusema nini au ndo kupunguza mjadala wa ndugu yetu tuliyempokea jnia? #RIPben#