Misa ya Mkapa: Nimeona tofauti kubwa kati ya maaskofu wa Katoliki na wale wa makanisa kama la Gwajima!

Misa ya Mkapa: Nimeona tofauti kubwa kati ya maaskofu wa Katoliki na wale wa makanisa kama la Gwajima!

Ukatoliki ni ukristo mkongwe kuliko mwingine wowote hivyo kuwa na misingi madhubuti sio cha kushangaza, hao mnaosema hawajui wanachokifanya ni utoto ktk imani, wakikua nao wataimarika, bahati nzuri wanao wazee wajifunze kwao....wakigoma kujifunza watapotea na kufa kama wenzao walioshupaaa na leo tumebaki kuwasoma vitabuni kwamba walikuwagepo...isitoshe nani asiejua haya? Kama hakuna, basi mtoa mada anataka kusema nini au ndo kupunguza mjadala wa ndugu yetu tuliyempokea jnia? #RIPben#
 
ile iliyochangishwa ya kujenga nyumba za maaskofu
Ile ni sadaka ya kawaida ya Jumapili ila Baraza la maaskofu limeagiza ipelekwe kukarabati nyumba ya mapadre kijijini Lupaso ili kukamilisha ndoto ya mtumishi wa Mungu Benjamin Mkapa.

Ingekuwa kwa mzee wa upako wangetoa sadaka ya kawaida na CHANGIZO la ujenzi.
 
Tuseme marehemu alikuwa hatoi kabisa sadaka kiasi cha kuchangishana misibani? vitega uchumi vyooote vya RC wanashindwa kupata ml 20? jamani
 
Tuseme marehemu alikuwa hatoi kabisa sadaka kiasi cha kuchangishana misibani? vitega uchumi vyooote vya RC wanashindwa kupata ml 20? jamani
Ile ni misa takatifu na sadaka ni sehemu ya misa.

Michango huchangishwa baada ya misa.

Hata Chadema walikuwa na utaratibu wa kutoa sadaka baada ya kuimba tenzi za rohoni kwenye mikutano yao, pale walijaribu kuchanganya dini na siasa ili wafuasi wao waamini wanatoa sadaka kumbe wanachanga.

Mzee Mkapa alikuwa muumini mzuri ndio maana kesho pale Immaculata inafanyika misa maalumu ya kumuombea na mwili wake utatolewa uwanjani kwa muda upelekwe Kanisani kwa misa!
 
Kuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri.

Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi bali yalijaa busara, hekima na Upendo.

Kiukweli ipo tofauti ya kutosha kabisa baina ya maaskofu wa haya makanisa rasmi na wale wa Huduma za kiroho.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Acha kuwachuza katolik wewe yale magauni yao shetani akitokea unafikili Nani ane pigwa? Maana awapo kivita , shetani inatakiwa maombi yeny vujo na majigambo ili ajifikilie mara mbili mbikukifuata
 
Kuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri.

Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi bali yalijaa busara, hekima na Upendo.

Kiukweli ipo tofauti ya kutosha kabisa baina ya maaskofu wa haya makanisa rasmi na wale wa Huduma za kiroho.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Maombi ya kueditiwa shetani anayapenda maana aya mdhuru Tena anakaa kabisa kweny kit na bibilia anasoma ,Yale ya rohoni ndo mazuri shetani asogei amia kwa watu wa rohoni wewe uwone Raha za dunia
 
Wala hutawaona kwenye maombi yaliyotangazwa na shehe wa Dsm,kina Gwajima ni watoza ushuru,sadaka zimekosekana wameona wakimbilie kwenye siasa,nako Wajumbe wamefanya yao.
Ukiona ivyo camera Awana hao ,ndo Mana amuwaoni
 
Hayo makanisa dizaini ya la Gwajima ndiyo yanayopendwa zaidi na vijana.

Kunani kwenye hizo “huduma za kiroho”?
Tatizo kule hawaambiwi wala hawahubiriwi waziwazi waache dhambi au tamaa za dunia hii unakuta mwanzo mpaka mwisho wa ibada mchungaji anatoa hints za namna ya kuwa tajiri,kumiliki gari nzuri mke mzuri etc and unfortunately vijana wengi haya ndo tunayoyatamani hasa wakati huu ajira hakuna pesa haishikiki basi wanakamatika kweli kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kanisa katoliki ni kanisa makini katika nyanja zote na kwa umakini wake waumini wake wananufaika sana kwa kupata mafunzo ya kiimani kutoka kwa viongozi makini.Jambo linalosaidia sana kuiimarisha imani za waumini wakatoliki ulimwenguni pote!
Wanatakiwa wa badilike Sana maombi yao sio kitu waokoke wawe wa rohoni Tena waende kwa gwaji boy
 
Back
Top Bottom