Traffic JF
Senior Member
- Jul 5, 2020
- 136
- 22
Tena wewe usi mfananishe gwaji na hao watoto wasio kua miaka yote wanaish na shetani kanisanAcha ubishi,huwezi linganisha Katoliki na hao wacheza porn kina Gwajima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena wewe usi mfananishe gwaji na hao watoto wasio kua miaka yote wanaish na shetani kanisanAcha ubishi,huwezi linganisha Katoliki na hao wacheza porn kina Gwajima.
Jitizame una kadudu kaina gan mwilin mwako ,hiyo ndio elaSiishi kwa UONGO UONGO na utapeli. Halafu ELA ndiye mdudu gani?
Jitizame una kadudu kaina gan mwilin mwako ,hiyo ndio ela
Akina gwajima wanatoa huduma za kiroho za kutafuta wafuasihawa ndio wenyewe sasa wanaotoa huduma za kiroho, sio hayo ya wapinga kristo uliyoyataja
Ile zawadi ya tausi wale, wale, wale! Nje ya maagano ya mbio za mwenge wa uhuru, ni balaa tupu, ni misiba baada ya misiba. Ingawaje ni " consipiracy theory" bali yanayokwenda kutokea ni kifo rasmi ya chama tawala[emoji2958][emoji41][emoji848][emoji851]
Jr[emoji769]
Nilipie Ada narudi shule kiroho Safi ,vinginevyo ntaendelea kupoteza mda umu umu ,Acha kujibaraguza unanifahamu. Rudi shule ulikotoroka ukajifunze Kiswahili badala ya kupoteza muda humu kuandika upuuzi.
Na mpak ujuwe sijuw kiswahili Ina maana umenielewa nilicho maanisha ,Wala unisumbui iloAcha kujibaraguza unanifahamu. Rudi shule ulikotoroka ukajifunze Kiswahili badala ya kupoteza muda humu kuandika upuuzi.
Na kujua kiswahili chako na mm nisie jua ,tunachati ,umeona elimu aina umuhimu Sana ishu ujuwe kusoma na kuandika tuAcha kujibaraguza unanifahamu. Rudi shule ulikotoroka ukajifunze Kiswahili badala ya kupoteza muda humu kuandika upuuzi.
Kuna bidha zako umempeleka aka nunua?Gwajima siyo Askofu ni mfanyabiashara wa dini
Na kujua kiswahili chako na mm nisie jua ,tunachati ,umeona elimu aina umuhimu Sana ishu ujuwe kusoma na kuandika tu
Nimeamin wewe ndo ujuwi kusoma ulitaka niandike nini Sasa? Na mashaka na wewe uwenda ukawa mjumbe umekula jasho la mtu lina kuleta maruwe ruweKwa ufinyu wa akili yako. Kama unadhani kujua kusoma na kuandika ndiyo mwisho wa dunia KALAGA BAHO ungekuwa unajua kusoma na kuandika usingeandika ELA. Rudi shule UKAFUTE UJINGA.
Alf vijitu vilivyo soma kayumba na kuenda kwa Ras Simba Wana shida sanaKwa ufinyu wa akili yako. Kama unadhani kujua kusoma na kuandika ndiyo mwisho wa dunia KALAGA BAHO ungekuwa unajua kusoma na kuandika usingeandika ELA. Rudi shule UKAFUTE UJINGA.
Alf vijitu vilivyo soma kayumba na kuenda kwa Ras Simba Wana shida sana
Wapuuzi kama wewe wanapeleka pesa mkuuKuna bidha zako umempeleka aka nunua?
Pia NI kanisa ambalo lina bwege 1 anayejiita mwakilishi wa Mungu duniani na maboya humwita baba mtakatifuKanisa katoliki ni kanisa makini katika nyanja zote na kwa umakini wake waumini wake wananufaika sana kwa kupata mafunzo ya kiimani kutoka kwa viongozi makini.Jambo linalosaidia sana kuiimarisha imani za waumini wakatoliki ulimwenguni pote!
Hapana.Mafundisho yanafundisha kuwa papa si mwakilishi wa Mungu duniani bali ni Khaifa wa mtume Petro.Pia NI kanisa ambalo lina bwege 1 anayejiita mwakilishi wa Mungu duniani na maboya humwita baba mtakatifu
Ewe mu roman-katoliki, pole sana kwa kudanganywa na kuwa sehemu ya mafundisho ya uongo ya kanisa lenu la kirumi.Kuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri.
Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi bali yalijaa busara, hekima na upendo.
Kiukweli ipo tofauti ya kutosha kabisa baina ya maaskofu wa haya makanisa rasmi na wale wa Huduma za kiroho.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Nyote ni kundi moja la mafundisho ya upotofu, yaliyotungwa na wanadamu. Walianza kukosea waroman katoliki, wakafundisha upotofu, baadae King Henry wa viii wa uingereza akakosa mtoto wa kiume, ili kulinda ufalme wake, akaoa mke wa pili, kanisa la roman wakamtenga, hivyo yeye akaanzisha kanisa la waingereza. Ndiyo maana kwa baadhi ya maeneo, hakuna tofauti ya ibada za waroma na waanglican/waingereza, wako sawa. Kwa Tanzania, kuna high church na low church. Waanglican wa kuanzia dodoma, hawawezi kusali misa za anglican ya pwani.Haya bana sie Waanglicana sijui tunakaa wapi?
Wakatoliki ndo wacha Mungu?Hahahaaaa.........!
Wachamungu wameelewa!