Misafara ya viongozi inachosha, inatesa na kurudisha nyuma maendeleo, IGP Sirro peleka Traffic Sweden kujifunza misafara ya wenzetu, Time is Money!

Empty scull, poor you...

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Wakati mwingine brother unaongea vitu vya maana kuna wakati unafuka mpaka nakushangaa.
kwa hili kweli nakupa hongera kweli ni kero. Basi hata watumie helcopta na waweke vituo maalum vya kuwasalimia watu kuliko kuwekana nusu saa nzima. Ukute hata hao askari sio wote wa usalama barabarani huwa wanachukukuliwa askari wa malindo na vituoni kuziba mapengo. Kwa stahili hiyo kukitokea msafara basi ujue maaskari vituoni ni admu wapo kwenye vipenyo na miredio masikioni na kofia nyeusi.
 
Wakati mwingine inabidi iwe hivo kw sababu watu bado hawaelewi maana ya misafara ya viongozi. Kumbuka ilishawahi kutokea kule Mwanza enzi za Mkapa. Lori Almanusura agongwe ila likaishia kugonga watembea kwa miguu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Washitakiwe kwa kuuhujumu uchumi wa wananchi na nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mayalla, wewe siyo mtu mdogo kwenye hii Tanzania, Hakuna siku umeona dosari za utendaji wa magufuli, na kama ulijaribu kumkosoa ni kijisafisha mbele za watu.
Duh...!.
Karibu mitaa hii ushuhudie jinsi ninavyosifu na kupongeza!.
P
 
Mkuu siku Dodoma ....sijui na ushamba !akipita hata Kamishna wa Uhamiaji lazima mji wote usimame!Ni kero
 
Mkuu zimwi la misafara ya viongozi bado tu linawatafuna wana Dar?

Nilivyosikia Jpm akiinasibu serikali yake nzima kuhamia Ddm nikadhan sasa wana Dar mtaishi mtanue bila ya kero ya kusimamishana mabarabarani!

Umetoa somo zuri kwa polisi, lakini hili la viongozi kuwahamasisha kurudia uzururaji wao kama wa awamu iliyopita ambao unauita kujifunza, wazo hilo hapana ni baya sikuungi nalo mkono, maana madhara yake we'mwenyewe unayajua.

Waweza kujifunza mahali ulipo bila ya kupoteza gharama za kusafiri.

Sasa ni kiongozi gani huyo aliyewablokisha mpaka ikapelekea ukaa-update mada?

Au ni mzee mstaafu wa Msoga? Maana huo uelekeo!

Lakini tumaini langu mavurugu vurugu ya misafara itakuwa imepungua kwa kiasi kikubwa sana Dar.
 
Tanzania viongozi wanajiona Kama Miungu,wanawadharau hata wale waliowaweka madarakani,waliowapigia kura..

Huwezi kufanananisha Sweden nchi wananchi wake wanajielewa na Tanzania nchi ambayo wananchi wake wamegubikwa na woga..
 
Watu wanalalamika Samia kupanda Basi la pamoja utafikiri Rais Samia ndie rais wa kwanza wa Tanzania kupandishwa basi ugenini... Hakuna ubaya wowote wala ajabu yoyote Marais kupanda pamoja!. Tulipanda basi moja na Rais Mkapa nchini Sweden!
P
 
Naunga mkono hoja.
Asante sana Dr. Mpango.
Wewe ni mpango mzima.
P
.
P
 
Unaona wenye akili waliandika toka 2019 , misafara ya hawa viongozi wetu inafanya hadi wagonjwa wafie njiani wakati viongozi wenyewe deliverance yao ni ndogo sana kwetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…