Misanya Bingi sasa ni Daktari wa Falsafa (PhD)

Misanya Bingi sasa ni Daktari wa Falsafa (PhD)

Duh ila kazeeka, alikuwa handsome enzi zake....
 
Bravo Dr. Bhingi intellectual from recognised institution i meant The Hill.
 
Kweli Maisha kupambana kutoka kuwa presenter wa kawaida tu hadi Lecturer wa UDSM with Phd kweli hakuna kukata tamaa Dr. Mengi nadhani inamsuta sana rohoni.
 
Penye nia pana njia. Aliimbaga tupac, never give up, keep your head up!
 
Watu wanasoma mpaka wanazeeka ili kupewa heshima ya neno Dr,

Wengine wanapewa eti kisa wanaimba, hii sasa dharau. Jaman embu muwe na adabu.

Bora mmeahirisha, mnataka tuwachukulie poa tu wasomi wetu eh??? Hongera jamaa.

Sent from my radio
 
Misanya Bingi ni Bright. Radio one alikuwa anazuga tu wakati anasoma ramani. Hongera Dr. Misanya Bingi
 
Mi nataka kuchukua phd ya mambo ya upasuaji hasa wa postrate
 
That is what we call BIDII......big up Misanya....wengi wana ya kujifunza kutoa kwako.
 
Huyu bwana amenitia nguvu sana ya kupambana na elimu kweli hakuna kisichowezekana...chini..ya jua...I believe that one day I will have a pHD....also
Unataka kuwa na PhD ili na wewe uitwe mganga au unataka kutoa mchango katika jamii kwa kupitia hiyo PhD?
 
Mi najivunia kuwa umefika mbali, maan nilisikiaga sekesek lako la kwenda shule nikiwa olevel na ipp kumaind, hongeraaaaaaa cna!?
 
Back
Top Bottom