Aliyekuwa Mtangazaji mahiri, Misanya Bingi, ametunukiwa Shahada ya juu ya Udaktari wa flasafa na Chuo Kikuu cha Dar es salaa (UDSM)
hongera mwayego............when one door is closed many others are open..
======================================
View attachment 200677
Mtangazaji Mkongwe wa Radio nchini, DR. Misanya Bingi.
Aliyepata kuwa mtangazaji mahiri wa ITV ambaye sasa ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Dar es salaam jana kala nondozzzz yake ya PhD na sasa anajulikana kama Dkt Misanya Bingi.
Globu ya Jamii inakupongeza kwa hatua hiyo na kukuombea wepesi huko kwenye Uprofesa unakoelekea, hasa baada ya kutetea vyema andiko lako la "Female Circumcision" kwenye thesis yako. Nadhani wanafunzi wako wote hapo Sociology Dept. wanafurahi.
Chanzo: Michuzi Blog