Misanya Bingi sasa ni Daktari wa Falsafa (PhD)

Misanya Bingi sasa ni Daktari wa Falsafa (PhD)

Misanya Bingi ni Bright. Radio one alikuwa anazuga tu wakati anasoma ramani. Hongera Dr. Misanya Bingi

Gpa yake undergraduate ilikua ya kubebwa sana na alikua abajipendekeza kwa walim balaa kweli walimbeba akaoata gpa kubwa. Ninachotaka kusema ni kwamba hakua bright!..hata hivyo hongera zake kujipendekeza kumemlipa!..
 
Aliyekuwa Mtangazaji mahiri, Misanya Bingi, ametunukiwa Shahada ya juu ya Udaktari wa flasafa na Chuo Kikuu cha Dar es salaa (UDSM)

hongera mwayego............when one door is closed many others are open..

======================================

View attachment 200677
Mtangazaji Mkongwe wa Radio nchini, DR. Misanya Bingi.


Aliyepata kuwa mtangazaji mahiri wa ITV ambaye sasa ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Dar es salaam jana kala nondozzzz yake ya PhD na sasa anajulikana kama Dkt Misanya Bingi.

Globu ya Jamii inakupongeza kwa hatua hiyo na kukuombea wepesi huko kwenye Uprofesa unakoelekea, hasa baada ya kutetea vyema andiko lako la "Female Circumcision" kwenye thesis yako. Nadhani wanafunzi wako wote hapo Sociology Dept. wanafurahi.


Chanzo: Michuzi Blog
Walimpiga chura teke wakidhani wamemuadhibu!kumbe ndio wamempuguzia mwendo,Mungu ni wa wote!mbele zake hamna mwenye haki kumshinda mwenzake!hongera sana misanya....
 
hongera zake amahenyeka nayo!" ......huku wengine wanapewa tu! bure.

Grand PA
 
Muwe wasomi alafu muisaidie jamii, someni sana lakini hakikisheni mnaweka kipaumbele kwa taifa lenu, otherwise ni bure, tutakuwa na taifa la wasomi wasio na mapenzi na nchi. Soma kwa ajili yako na taifa lako..!

Hongera #MisanyaBingi
 
Hongeraaa sana...!!na mie one day yeeees!!
 
Nakumbuka Misanya akiwa mtangazaji kuna mtangazi mwenzake alikuwa kajiunga Chuo Kikuu ,nilimsikia Misanya akimwambia na mimi nakuja huko huko,kwa hiyo inaonyesha alikuwa amejiwekea maleana mahaba ngo,hongera Dr Misanya Bingi ombi langu usije kwenda kondoa kugombea Ubunge,kwa maana siku hizi wasomi wetu wana mahaba na siasa hasa za chama cha magamba
 
Hongera sana jirani, Dr. Misanya Bingi.
 
Gpa yake undergraduate ilikua ya kubebwa sana na alikua abajipendekeza kwa walim balaa kweli walimbeba akaoata gpa kubwa. Ninachotaka kusema ni kwamba hakua bright!..hata hivyo hongera zake kujipendekeza kumemlipa!..
Wewe kweli kalagabaho
 
Last edited by a moderator:
Watu wanasoma mpaka wanazeeka ili kupewa heshima ya neno Dr,

Wengine wanapewa eti kisa wanaimba,hii sasa dharau.jaman embu muwe na adabu.

Bora mmeahirisha,mnataka tuwachukulie poa tu wasomi wetu eh???hongera jamaa.

Sent from my radio

Wengine wakaona isiwe tabu wamejipa wenyewe. .. kina Dr cheni .. hemedi PhD
 
Gpa yake undergraduate ilikua ya kubebwa sana na alikua abajipendekeza kwa walim balaa kweli walimbeba akaoata gpa kubwa. Ninachotaka kusema ni kwamba hakua bright!..hata hivyo hongera zake kujipendekeza kumemlipa!..

Unaweza kujipendekeza undergraduate ila sio mpaka Doctorate, hata yeye aliyajua haya ndio maana akakakomaa pale pale UDSM, sawa undergraduate hakuwa mkali kihivyo ila alijipanga sana kwenye MA, kwa wale waliosimamiwa naye kwenye seminer rooms watalithibitisha hili maana hawakuwa wakiamini ila mwishoni walimkubali. Sasa kafunga midomo yote kwa kupiga Uzamivu.... Na uprofesa huoooo ukizingatia bado yupo chuoni anafindisha. Hongera sana Mdau
 
Yuko wapi Misanya Bingi?

Alikuwa kati ya watangazaji mahiri ndani ya ITV na Redio One na aliongoza vipindi mbali mbali ikiwemo Kipusa akirithi mikoba ya Abdallah Majura.

Ningependa kujua alipo huyu gwiji wa tasnia ya habari mwishoni mwa miaka ya 90 na mwanzoni mwa 2000.
 
alikuwa kati ya watangazaji mahiri ndani ya itv na redio one na aliongoza vipindi mbali mbali ikiwemo kipusa akirithi mikoba ya abdallah majura.

ningependa kujua alipo huyu gwiji wa tasnia ya habari mwishoni mwa miaka ya 90 na mwanzoni mwa 2000.
Ni mhadhiri UDSM mambo ya Sociology tayari ana PhD kama sikosei. Ni Dr Misanya sasa!
 
Back
Top Bottom