Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
same to me
yaani target zangu ni kua PHD kwa uwezo wa maanani na naomba uzima tu
Safi sana... kutoka kwenye kuwa mpiga kelele redioni hadi PhD! Anastahili pongezi 100%...
Duh ila kazeeka,alikuwa handsome enzi zake....
same to me
yaani target zangu ni kua PHD kwa uwezo wa maanani na naomba uzima tu
Unataka kuwa na PhD ili na wewe uitwe mganga au unataka kutoa mchango katika jamii kwa kupitia hiyo PhD?Huyu bwana amenitia nguvu sana ya kupambana na elimu kweli hakuna kisichowezekana...chini..ya jua...I believe that one day I will have a pHD....also
Kweli Maisha kupambana kutoka kuwa presenter wa kawaida tu hadi Lecturer wa UDSM with Phd kweli hakuna kukata tamaa Dr.Mengi nadhani inamsuta sana rohoni.