kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,893
Misanya Bingi ni Bright. Radio one alikuwa anazuga tu wakati anasoma ramani. Hongera Dr. Misanya Bingi
Walimpiga chura teke wakidhani wamemuadhibu!kumbe ndio wamempuguzia mwendo,Mungu ni wa wote!mbele zake hamna mwenye haki kumshinda mwenzake!hongera sana misanya....Aliyekuwa Mtangazaji mahiri, Misanya Bingi, ametunukiwa Shahada ya juu ya Udaktari wa flasafa na Chuo Kikuu cha Dar es salaa (UDSM)
hongera mwayego............when one door is closed many others are open..
======================================
View attachment 200677
Mtangazaji Mkongwe wa Radio nchini, DR. Misanya Bingi.
Aliyepata kuwa mtangazaji mahiri wa ITV ambaye sasa ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Dar es salaam jana kala nondozzzz yake ya PhD na sasa anajulikana kama Dkt Misanya Bingi.
Globu ya Jamii inakupongeza kwa hatua hiyo na kukuombea wepesi huko kwenye Uprofesa unakoelekea, hasa baada ya kutetea vyema andiko lako la "Female Circumcision" kwenye thesis yako. Nadhani wanafunzi wako wote hapo Sociology Dept. wanafurahi.
Chanzo: Michuzi Blog
Mengi nae si dokta wa kulalamika?
Wewe kweli kalagabahoGpa yake undergraduate ilikua ya kubebwa sana na alikua abajipendekeza kwa walim balaa kweli walimbeba akaoata gpa kubwa. Ninachotaka kusema ni kwamba hakua bright!..hata hivyo hongera zake kujipendekeza kumemlipa!..
Watu wanasoma mpaka wanazeeka ili kupewa heshima ya neno Dr,
Wengine wanapewa eti kisa wanaimba,hii sasa dharau.jaman embu muwe na adabu.
Bora mmeahirisha,mnataka tuwachukulie poa tu wasomi wetu eh???hongera jamaa.
Sent from my radio
Wengine wakaona isiwe tabu wamejipa wenyewe. .. kina Dr cheni .. hemedi PhD
Wengine wakaona isiwe tabu wamejipa wenyewe. .. kina Dr cheni .. hemedi PhD
hongera zake amahenyeka nayo!" ......huku wengine wanapewa tu! bure.
Grand PA
Prof. Majimarefu na Dr. Manyaunyau.
Gpa yake undergraduate ilikua ya kubebwa sana na alikua abajipendekeza kwa walim balaa kweli walimbeba akaoata gpa kubwa. Ninachotaka kusema ni kwamba hakua bright!..hata hivyo hongera zake kujipendekeza kumemlipa!..
Gpa yake undergraduate ilikua ya kubebwa sana na alikua abajipendekeza kwa walim balaa kweli walimbeba akaoata gpa kubwa. Ninachotaka kusema ni kwamba hakua bright!..hata hivyo hongera zake kujipendekeza kumemlipa!..
Ni mhadhiri UDSM mambo ya Sociology tayari ana PhD kama sikosei. Ni Dr Misanya sasa!alikuwa kati ya watangazaji mahiri ndani ya itv na redio one na aliongoza vipindi mbali mbali ikiwemo kipusa akirithi mikoba ya abdallah majura.
ningependa kujua alipo huyu gwiji wa tasnia ya habari mwishoni mwa miaka ya 90 na mwanzoni mwa 2000.