Misanya Bingi sasa ni Daktari wa Falsafa (PhD)

Misanya Bingi sasa ni Daktari wa Falsafa (PhD)

Huyu bwana amenitia nguvu sana ya kupambana na elimu kweli hakuna kisichowezekana...chini..ya jua...I believe that one day I will have a pHD....also
tafuta pesa kwanza elimu ipo,kuna nafasi za elimu huwa kama za kisiasas tu!so relax familia iwe ishia maisha safi sana elimu utapata tu..hizo nyota...sucessiful pple poses olmost one degree or non...even the qualificafition of being judge its just one degree probably now itakutaka uwe na school of law...so usikimbilia sana elimu tena ya phd wakati nyumbani maisha hoi...samahani mkuu,najaribu kutafakari..sikuzungumzii wewe!
 
Safi sana ushauri mzuri huu,hebu ona watu kama kina Zuckenberg,Bill Gates etc......elimu zao za kawaida tu lkn wana pesa mbaya......muhimu tu mtu uwe na elimu ya kawaida harafu unaanza kutafuta chapaa.....ukizipata unaweza panga kusoma sasa tena!!
 
Dj Ommy alikuwa maarufu kwa kupiga bolingo. Mtaa wa mangoma alikuwepo DJ JD, alipoondoka DJ JD radio one, kipindi akakichukua Marehemu Moses Justine au kwa jina lengine Papaa MO.
He kumbe Moses justine ameshafariki
 
Jaribu na wewe mkuu kukremisha

Niache kutafuta ela nianze kwenda kuhamishia vitabu kichwani sio hobby yangu

Waendelee kukremisha Mimi natafuta njuluku mwisho wa siku ntawaajiri waje wafundishe tuition wanangu
 
Jamaaa alikuwaga fisi mbaya, kuna maeneo kadhaa nishakutana nae! Ila Hongera zake kwa kupata PhD
 
===========

View attachment 364200
Mtangazaji Mkongwe wa Radio nchini, DR. Misanya Bingi.

Aliyepata kuwa mtangazaji mahiri wa ITV ambaye sasa ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Dar es salaam jana alitunukiwa cheti chake cha PhD na sasa anajulikana kama Dkt Misanya Bingi.

JamiiForums inakupongeza kwa hatua hiyo na kukuombea wepesi huko kwenye uprofesa unakoelekea, hasa baada ya kutetea vyema andiko lako la "Female Circumcision" kwenye thesis yako.

Ni matumaini yetu wanafunzi wako wote hapo Sociology Dept. wanafurahi.

Hongera mwayego...... When one door is closed many others are open..
ongera
 
Ni moja ya ndoto zangu....Hongera sana misanya. Kweli elimu haina mwisho na hakuna lisilowezekana ukiweka nia. I love this.... Get inspired
 
Safi sana ushauri mzuri huu,hebu ona watu kama kina Zuckenberg,Bill Gates etc......elimu zao za kawaida tu lkn wana pesa mbaya......muhimu tu mtu uwe na elimu ya kawaida harafu unaanza kutafuta chapaa.....ukizipata unaweza panga kusoma sasa tena!!

Tangu uanze kuzitafuta hizo pesa ulishazipata?

Watanzania kwa kuropoka, TUKO VIZURI SANA
 
Niache kutafuta ela nianze kwenda kuhamishia vitabu kichwani sio hobby yangu

Waendelee kukremisha Mimi natafuta njuluku mwisho wa siku ntawaajiri waje wafundishe tuition wanangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwanini una negative mind namna hii. Yeye pia ni pesa anatafuta atii
 
Back
Top Bottom