chishango
JF-Expert Member
- Feb 20, 2009
- 854
- 362
Mkuu ile kizungu inaitwa Female Genital Mutilation sio CircumcisionJamii aliyotokea wanapangusa sana antena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ile kizungu inaitwa Female Genital Mutilation sio CircumcisionJamii aliyotokea wanapangusa sana antena
tafuta pesa kwanza elimu ipo,kuna nafasi za elimu huwa kama za kisiasas tu!so relax familia iwe ishia maisha safi sana elimu utapata tu..hizo nyota...sucessiful pple poses olmost one degree or non...even the qualificafition of being judge its just one degree probably now itakutaka uwe na school of law...so usikimbilia sana elimu tena ya phd wakati nyumbani maisha hoi...samahani mkuu,najaribu kutafakari..sikuzungumzii wewe!Huyu bwana amenitia nguvu sana ya kupambana na elimu kweli hakuna kisichowezekana...chini..ya jua...I believe that one day I will have a pHD....also
Safi sana ushauri mzuri huu,hebu ona watu kama kina Zuckenberg,Bill Gates etc......elimu zao za kawaida tu lkn wana pesa mbaya......muhimu tu mtu uwe na elimu ya kawaida harafu unaanza kutafuta chapaa.....ukizipata unaweza panga kusoma sasa tena!!tafuta pesa kwanza elimu ipo,kuna nafasi za elimu huwa kama za kisiasas tu!so relax familia iwe ishia maisha safi sana elimu utapata tu..hizo nyota...sucessiful pple poses olmost one degree or non...even the qualificafition of being judge its just one degree probably now itakutaka uwe na school of law...so usikimbilia sana elimu tena ya phd wakati nyumbani maisha hoi...samahani mkuu,najaribu kutafakari..sikuzungumzii wewe!
Mrema yupiMrema's degree was not real, I think he bought the certificate for show only.
Not true, his real name is Misanya Bingi, I went to school with some of his sisters.
He kumbe Moses justine ameshafarikiDj Ommy alikuwa maarufu kwa kupiga bolingo. Mtaa wa mangoma alikuwepo DJ JD, alipoondoka DJ JD radio one, kipindi akakichukua Marehemu Moses Justine au kwa jina lengine Papaa MO.
Jaribu na wewe mkuu kukremishaDr kwa kukremisha
Me too!Huyu bwana amenitia nguvu sana ya kupambana na elimu kweli hakuna kisichowezekana...chini..ya jua...I believe that one day I will have a pHD....also
Jaribu na wewe mkuu kukremisha
ongera
===========
View attachment 364200
Mtangazaji Mkongwe wa Radio nchini, DR. Misanya Bingi.
Aliyepata kuwa mtangazaji mahiri wa ITV ambaye sasa ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Dar es salaam jana alitunukiwa cheti chake cha PhD na sasa anajulikana kama Dkt Misanya Bingi.
JamiiForums inakupongeza kwa hatua hiyo na kukuombea wepesi huko kwenye uprofesa unakoelekea, hasa baada ya kutetea vyema andiko lako la "Female Circumcision" kwenye thesis yako.
Ni matumaini yetu wanafunzi wako wote hapo Sociology Dept. wanafurahi.
Hongera mwayego...... When one door is closed many others are open..
Safi sana ushauri mzuri huu,hebu ona watu kama kina Zuckenberg,Bill Gates etc......elimu zao za kawaida tu lkn wana pesa mbaya......muhimu tu mtu uwe na elimu ya kawaida harafu unaanza kutafuta chapaa.....ukizipata unaweza panga kusoma sasa tena!!
Niache kutafuta ela nianze kwenda kuhamishia vitabu kichwani sio hobby yangu
Waendelee kukremisha Mimi natafuta njuluku mwisho wa siku ntawaajiri waje wafundishe tuition wanangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwanini una negative mind namna hii. Yeye pia ni pesa anatafuta atiiNiache kutafuta ela nianze kwenda kuhamishia vitabu kichwani sio hobby yangu
Waendelee kukremisha Mimi natafuta njuluku mwisho wa siku ntawaajiri waje wafundishe tuition wanangu
NaniMwenzie anaendelea na kelele, zake ITV hadi Leo
Ni binadamu kama weweJamaaa alikuwaga fisi mbaya, kuna maeneo kadhaa nishakutana nae! Ila Hongera zake kwa kupata PhD
Hongeraongera
Kwa hiyo mimi nimesema ni mbuzi??Ni binadamu kama wewe