Tuweke hapa misemo ambayo umeshaiona ama kukutana nayo kwenye usafiri mbalimbali kama bodaboda, bajaji, na mabasi au makenta na magari mengine hasa ya usafirishaji mana wanakuaga na misemo wakati mwingine unajiuliza alieandika alikua anafikiria nini na misemo mingine ni ya kufurahisha kama sio kuchekesha. Karibu share.