Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

sheria duniani, haki mbinguni
hatua moja huzaa nyingine
kalaga bao
usingepanda
ndio, umepanda la nini?
 
Igende Ibwere =Iende Irudi.
Yote heri tu.
Kulia na kucheka zote ni kelele.
Chunga sana.
Subiri nitarudi.
 
Usiogope haiumiz ni umbile lake,talaka ya hawara makonde,Kama weupe ni mali ubuyu usingepakwa rangi,
Nimeipenda sana hiyo ya bluu. Great thinking.Cheusimangala akiisoma nakwambia atagonga like na ma-thank.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…