Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Heri UZEE kuliko uzembe kula ulichopanda BABA YAKO ANALO? BAKIZA BUKU IMEKUUMA? KIRAGO CHA SIMBA. MWANAUME KAZI! ACHA UMBEA.
 
Usicheze mbali unga robo...

Starehe Gharama

No Pain NO Gain
 
Hi nimeona ktk daladala moja plying btn Igoma - Buhongwa
Inasema " Wape Nyama wanyamaze"
 
Watishia kunya kwa kujamba...!Akunyimae kunde amekupunguzia mashuzi
 
1. tonge nyama...
2. zumbe atogolwe
3. hata mbuyu ulianza kama mchicha
 
Mfungwa hachagui gereza

Masida makali

hata kwetu wapo
 
IMG_3008.JPG

..............picha huongea zaidi
 
IMG_3452.JPG
...................ngoja ni adjust camera.....................
 
Hii thread imenianzishia siku vizuri.ha ha ha.kuna bajaj iliwahi kunichomekea bamaga,alafu nyuma imeandikwa "za kazi"nilianza kucheka na hasira zikaisha.

Nyingine nisiyoweza kuisahau niliikuta mikumi kwenye canter inasema "utakula ulikopeleka mboga"....ha ha ha
 
Back
Top Bottom