Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Somgo kwa wanasiasa
 

Attachments

  • 20240618_195115.jpg
    139.4 KB · Views: 43
Mwanza nako hawapo nyuma
 

Attachments

  • 20240829_162829.jpg
    76.6 KB · Views: 43
"HAKUNA kibaya KIZURI"
 
Misemo ni mingi sana na kila siku kunakua na misemo mipya kweye mitaa mitandaoni' ila
Leo
nataka ushare
msemo
wowote ule ambao umewahi kuuona
kwenye bodaboda au gari ambao una
kautata
kidogo au au hata yenye kufurahisha! hata picha ya
huo msemo pia


1 Utelezi tu utamu
tunao""

2 Kitambi bila pesa ni
sawa na
mimba bila mume

3 Kaka mchunge mkeo
bodaboda
ni ya mkopo hii

4 Unabana nini' wakati
utazikwa nayo,,,

5 Unalinga nini sura yenyewe ya babaako?


ONGEZA NA WEWE
MINGINE
TUFURAHIE!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…