Hii thread imenianzishia siku vizuri.ha ha ha.kuna bajaj iliwahi kunichomekea bamaga,alafu nyuma imeandikwa "za kazi"nilianza kucheka na hasira zikaisha.
Nyingine nisiyoweza kuisahau niliikuta mikumi kwenye canter inasema "utakula ulikopeleka mboga"....ha ha ha