Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Kuna majamaa kila mmoja aliandika bajaji yake, mmoja aliandika 'kama inauma chomoa' trafiki wakaona ni uhuni wakamuamuru afute maneno hayo. Yule aliyeandika "mguu wa jini" akawa hapati abiria ikabidi afute maandishi hayo
 
Unaanzisha mbio umeagana na nyonga!?
Unajisifu unambio,msifu anae kukimbizaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…