konda nyimbo gani hizo weka za mungu.
mungu bado hajatoa albam.
Unayemchukia kaja!!!
Ninafurahishwa na misemo inayaoandikwa katika magari hususani daladala.
1. Silaha pesa Bastola mzigo
2. Hata uoge mjini huendi
3. Chezea mshahara usichezee kazi
4. Hata manyunyu ni mvua
Endeleza hapo.

Ikisimama panda