tupia ujumbe/maneno yoyote
uliyoosoma kwenye gari......mfano mtaji
wa masikini ni nguvu zake
mwenyewe,mwanaume hachagui
kazi..........haya sasa tiririka mengine
uliyoyasoma>>>
Mkuu mbona mara ya pili hii naona una'comment abracadabra ? Kama sio Viazi .
Huyu mdau kahitaji maneno yaandikwayo kwenye magari! Wewe wasema Sredi hii ilishakuja!
Kwani aliiteta huyu ?
Hata kama ! Nevertheless
Unashindwa kujiongeza kama kl siku magari mapya yanaongezeka ?
Wewe unajua gari nitakalo nunua mimi next wiki nitaliandika nini ?
Punguza viazi ! Huko ni kudandia kwenye bonet !
Just use you're two eyes for your self navigation .
zafanana
mwanaume hasifiwi sura anasifiwa kazi
kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake
ni kwarehema za bwana tu tutafika
hakuna lisilowezekana
mengine niyakiluga sasa nayo tuaandike pia
zafanana
mwanaume hasifiwi sura anasifiwa kazi
kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake
ni kwarehema za bwana tu tutafika
hakuna lisilowezekana
mengine niyakiluga sasa nayo tuaandike pia