Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

"Usifananishe pumbu na tunguli, hapa kazi tuuuu!" Credit: Daladala la Msata via Bunju.
 
Jamani hapa bongo utakutana na daladala zina majina kiboko,mimi natupia baadhi nawe tupia yako hapo chini..
1. Majungu mliyo yapika sasa mtayapakua...
2. Nenda kaseme tena..
3. Gusa unate..
4. Flag ya chuma..
5. Masikini hafilisiki..

6 Nguvu kijijini mjini akili
 
Na hili roli vipi!
 

Attachments

  • 1407274358266.jpg
    1407274358266.jpg
    56.9 KB · Views: 1,102
Back
Top Bottom