Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

HATA MPUMBAVU HUWA ANAOGEA HEKIMA.USIMDHARAU....
 
Kusoma sana ni woga wa maisha, na nyingine; Yatima hadeki, ipo nyingine inasema, likizo ya masikini ni ugonjwa!
 
Back
Top Bottom