Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

1. Kisu cha ngariba

2. Mkanye mkeo,bodaboda siyo yangu

3. Kusoma sana ni woga wa maisha


4. Panua mkwaju waja

5. Tatizo pesa

6. Dela hunoga kwa mwenye nyama

7. Kutwa mara tatu

8. Hainaga ushemeji tunakulaga

9. Mbuyu ulianza kama mchicha

10.

Naomba uongezee misemo mingine uijuayo.
Mtalaka hatongozwi
 
6142064673a855d734feaf3681343a74.jpg
 
Back
Top Bottom