Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Huwa naenjoy sana kusoma yaliyoandikwa nyuma ya daladala. Baadhi ya Misemo maarufu
ya kwenye daladala ni hii....

1.Yatima hadeki

2.Utamu wa chips mimba

3.Ukitaka kujua ugumu wa kudai kopesha ukweni

4. Usiyempenda kaja

5. Kobe hapimwi joto

6. Acha kazi uone kaz kupata kaz

7. Ukichezea koki utalowa

8. Heshima pesa kipara kovu tu!

9. Mtumbwi hauna saitmira.

9. Silaha pesa bastola mzigo

10. Hata uoge mjini huendi

11. Chezea mshahara usichezee kazi.

12. Ukiona manyoya ujue kishaliwa

13. Ikisimama Panda

14. Pombe pombe tuu kunywea bar mbwebwe

15. Njia ya chooni haioti nyasi

16. Likizo ya maskini ugonjwa

17. Hata ukinawa huli.


Wakuu Karibuni tuongezee mengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
5f7ab46cc2dcd67778b4c8c5cd192e38.jpg
 
Lugha ya malkia iliyokuja na boti makasia

Lugha iliyowashinda wababe wenye vichwa vigumu Afrika
 
Back
Top Bottom