KUNA HIZI PIA
Fukara hatabiriki -Bajaji
Lawama kwetu cheo - Kipanya
Usipovaa Bwana atatwaa - DCM
Jiko la shamba halichagui kuni
Maanta utuh(sina hakika na herufi zake) ikimaanisha Ubinaadamu kazi!
Uza nyuba jenga heshima baa
Kuna jamaa alilowea mjini na akawa anapata lawama nyingi kutoka 'home' kuwa haendi kusalimia, alipozichonga akanunua gali na kuliandika hivi 'Baleke bajobheke, Pambwani panyafu'. Guess alikuwa mutu ya wapi?