Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

kanzu haiwekwi mlegezo
Silaha pesa kisu mzigo
Ikiuma sema
Usiku mbu mchana Nzi
Laki sio hela
 
"Utamu wa kazi pesa"
"Macho kumchuzi akili ku dagaa"
"Kufeli shule sio kufeli maisha"
"Sio kila mwenye upara profesa"
 
Back
Top Bottom