Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

"Mkanye akirudi"
"Niache kidogo"
"Marufuku kukata tamaa"
"popote ulaya tatizo ni pesa"
 
Mtaishia kunawa kula nami hamuwezi,,,
mama wa kambo ananikera,,,
utajir ni ndoto yangu,,,
kaa twende,,,
kaza buti,,,
jogoo halisimami,,,
unanikera mwajuma,,,
the one and only,,,
 
Back
Top Bottom