hotel
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 332
- 324
[emoji2] [emoji2] [emoji2] uzi mtamu sana huu.Ndipo makada wakajipiga vifua na kugalagala kwenye mavumbi kama chatu huku wakisema, "ewe Sizonje tuchukue utumwani milele"
Lumumba 4 : 5-13
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] uzi mtamu sana huu.Ndipo makada wakajipiga vifua na kugalagala kwenye mavumbi kama chatu huku wakisema, "ewe Sizonje tuchukue utumwani milele"
Lumumba 4 : 5-13
Mkuu acha tuwanyooshe,wakiwa majukwaani watasema hawafanyii kazi taarifa za mitandaoni.Wakijifunika shuka usiku wanalia na kusaga meno kwa kuchomwa na ukweli.Nimecheka sana. Watanzania Mungu anawaona.
Darajani oyeeeee [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nae akaugeukia mkutano ule nakusema, "nimfanye nini mtu huyu?". Nao wakajibu kwa pamoja kwa sauti kuu "ATUMBULIIWEEEEE!!". Darajani 6:3-4
Mara baada ya kada Nyamtalakyono kuona jinsi wagalilaya walivyojaa hasira na matendo ya kaisari(mkulu) basi akaamua kutia neno kuwatuliza, lakini cha ajabu hakuna aliyemsikiliza maana walijua katumwa na mafalisayo kuja kuona ili akatoe ushuhuda Lumumba. (Enlightenment 1:21thc na kuendelea)Ewe Nyamtalakyono ni nani aliyekuroga hata unashindwa kujua kuwa Kuhani mkuu na wasidizi wake anatufanyia maskhara kutuambia kuwa muujiza wa vichwa vya treni hawautambui?
Je kuna mtenda moujiza mwingine katika milki hii zaidi ya kuhani huyu ?wale makuhani wenye mitazamo tofauti wamezuia kufanya miujiza mpaka hesabu ya 2020 itmie!na wengine wamefukuzwa na msaidizi wa kuhani kutoka hekaluni kwa mwaka mmoja huku kuhani mkuu akiwasubiri nje ya madhabahu wafanye maombi kinyume chake awasulubu!hujui hayo!
Kweli kizai hichi kinapotea kwa kukosa maarifa
Not to that extent 15:20
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Huu uzi usiishe jamani iwe kama makapuku forum.... Jina la huku liwe maandiko forum
Kama mmNimejisubscribe huu uzi [emoji28] [emoji28]
Hahaha huu uzi unafurahisha sanaKama mm
6.Ndipo wadanganyika walipoamini kuwa sizonje naye ni miongoni mwa waongea uongo ...UFUNUO WA UKAWA 16
1: Nami nikachukuliwa mpaka mbingu ya magogoni na tazama nikaona makusanyiko yameketi, nae aliyeketi mbele yake katika kiti cha enzi alivalia mavazi meusi na kichwa chake kama volkswagen beetle. Nae alikua ameandaa karamu ya anasa kwaajili ya kusoma ripoti ya makinikia
2:nao wamsikilizao walikua ni mafarisayo,makuhani,makuhadi,watu mashuhuri,makada wa ccm,wasanii pamoja na mfineli mmoja jina lake lemutuz,
Nao wakiwa wanasujudu mbele ya mfalme yule sizonje wakisema "ewe sizonje utawale Milele"
3:Na mikono ya mfalme yule ilikua imejaa damu za watu wasio na hatia. Na moyo. Wake ulikua umejawa na chuki,kiburi,visasi,majigambo,maonevu na udikteta.
Nami nikamuuliza yule malaika aliyenipeleka pale, Uyo aliyeketi ndo yule aliyetabiriwa mpinga democracy, tazama nae malaika ananiambia kwa uchungu "naam uyo ndiye, kwani hukusikia mababu zenu kinanyerere walitabiri ujuo wake". Nami nikakosa jibu
4: Basi pale mbele ya mfalme kulikua na kitabu kikubwa kiitwacho ripoti ya makinikia. Nami nikamuona mfalme akijigamba mbele ya ule umati akisema "mimi ndiye mfalme nitafukuza hawa acacia katika milki yangu" nao umati ukashangilia kwa sauti kuu.
Mfalme akaendelea na majigambo na kuwaaminisha kwamba yeye ni yule masihi aliyetabiriwa kuja kutoa tanzagiza kwenye umasikini. Kumbe yeye ni yule mpinga democracy nae kawatesa masihi wa bwana.
5:tazama akaibuka nabii wa bwana lisu akasema mfalme kaongea uongo lakini watanzagiza hawakumuelewa, lakini baada ya wiki mbili ikafahamika mfalme alidanganya umma.
Mpaka unashindwa cha kuandika ....mwanzilishii atatufanya wekeend yetu iwe swaaaafiiiii ...Hahaha huu uzi unafurahisha sana
Huu uzi usiishe jamani iwe kama makapuku forum.... Jina la huku liwe maandiko forum