BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Na ndipo SIZONJE akanena mimi na kiongozi imara najitambua na sikushindikizwa na mtu kwenda kuchukua form. Hakuna yeyote wa kumwambia SIZONJE afanye nini kwenye utawala wake au amteue nani na kumfukuza nani, na WADANGANYIKA wakajibu kwa sauti kubwa AMINA na jina lako litukuzwe milele mpaka na vitukuu vyetu. WAKOLOMIJE 15:22-35