Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
![]()
![]()
![]()
Kama umeshakipitia kitabu hiki ongezea mistari zaidi
Duh! Hii hata Sizonje akiisoma atacheka tu. Umeua kabisa...!!Kisha wakiwa wale wakamuuliza mfalme, je tutafidiwa uharibifu huu ulioletwa na janga hili?
Mfalme kwa majigambo akawauliza watu wale wenye huzuni kuu, je ni ufalme wangu uliotukuka uliyoyaleta yote haya? Nao wakajibu la hasha mfalme tuhurumie jmn twafaa. Mfalme akawaambia hakika nyinyi mmelaaniwa lile gonjwa kuu limetokea kwenu na bado kutetemeka bado ni nyie.
Baada ya kusema hayo ndipo mfalme akajitwalia na zile shekeli zote kutoka kwa wasamaria na kuondoka zake kimya kimya.
Washomile 1:20 25
Nalikuwa katika mji wa Bandari Salama nikiomba,roho yangu ikazimia,nikaona maono;vyombo vinashuka kutoka mbinguni,nikitazama kwa makini,vilikuwa ni vichwa vya treni.[Waraka wa Pili wa Bashite kwa Wanakolomije 11:7-10]Mi nadhani ndugu zangu ifikie hatua tukue kifikra. Tunapaswa tuendeshe mijadala yenye tija kuhusu vichwa vya treni itakayomsaidia Rais wetu JPM na sio mizaha na kejeli za kipuuzi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah! Mkuu umenivunja mbavuNdipo makada wakajipiga vifua na kugalagala kwenye mavumbi kama chatu huku wakisema, "ewe Sizonje tuchukue utumwani milele"
Lumumba 4 : 5-13
Mods mbona mna edit mistari tukufu nani kawapa mamlaka hayo.. Haya mme edit sasa hiyo 70:70 ni nini?Sauti ikasisika katika kundi la watu mfalmee! tusaidie ndipo mfalme akajibu niwasaidie nini?
Tuna njaa! Kufeeeni na njaa zenu ama kwa hakika mimi sio mpishi
70:70
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]atawale milele mfalme belishazaNdo akafungua kinywa na kunena 'kwa vile umesema wazee tuachwe tupumzike na wala tusihusishwe na mikataba mibovu ya wakati wetu, mkuu wa majeshi, basi ikikupendeza utawale milele' : Kulindana 20:17